Juandeglo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,040
- 2,806
Kulikuwa na binti aliitwa Mercy. Mercy alisoma UDSM akamliza na miaka 27.
Mercy katika kuhustle na life akakutana na mjeda. Wakaanza mahusiano. Katika kipindi kdogo cha mahusiano (3 months), mjeda akawa anamchallenge wafanye matusi.
Mercy akawa reluctant at first. Yeye alikuwaga na rafikize kadhaa. Siku wakawa wamekaa wanapiga story. Akawaambia kuhusu mwanaume wake na anachokitaka kwake.
Wakamuuliza Mercy una miaka mingapi akawaambia 27. Wakamwambia " unasubiri nini wewe, sealed sealed ndo ushubwada gani. Em achana na uzamani na ufamba. Anakupenda huyo kakuvumilia sana huoni tu. Embu usimtese bwana. Kwanza sealed sio guarantee ya ndoa kudumu so achana na hizo fikra"
Miss Mercy akaubeba ushauri kama ulivyo. Chap kwa haraka wakameet hotelini kutia signature kwenye mahusiano yao.
Sasa baada ya mjeda kugundua binti alikua sealed hakuendelea. Akamwambia "what wewe ni bikra? Kwanini hukuniambia. Yani kumbe we wa kizamani hivyo. Akamdharau, hakumlala, akamuacha. Akajisikia kuumia sana na kujiona ana mkosi, kasoro.
Akaongea na mmama mmoja akamwambia embu usiwasikilize wenzako watakupoteza. Tafuta maisha yako jitunze muoaji atakuja mapema tu usiogope.
Alivyofika 30 years akiwa katika ofisi flani, akakutana na mwanaume aliyekuwa akiishi China. Mwanaume akampenda Mercy sana. Akamposa, mahari ndoa ndani ya muda mfupi sana. Alikuja kwa ajili ya kazi iliokuwepo Tanzania kwenye shirika la reli. Alikua na mafanikio kiasi chake.
Sasa tayari wana watoto watatu. Sio kwamba its a perfect marriage but its a blessed one.
Ila tu mwe na uhakika hata kama sealed, msipoendelea kumuomba Mungu na kutembea katika njia zake katika ndoa hata sealed haina thamani. The Hand of God is everything in a marriage.
#nawasilisha#