Nimevuruga kikao cha watu, hakuna ndoa tena

Nimevuruga kikao cha watu, hakuna ndoa tena

VIRGINITY doesnt mean DIGNITY; Is Just Lack of Opportunity Influenced By DIVINITY.

Mwaka 2020 nimemuona Mwanamke nimfahamuye (tumesoma shule ya msingi moja) aliyezaliwa mwaka 1968 na kuolewa miaka ya Tisini akiwa BIKRA akichepuka. Mbaya zaidi alikuwa na WANAUME watatu (mume na michepuko 2) wote wakiishi mji mmoja. Mwanamke ana watoto 3 huku wa kwanza akiwa around 30yrs.

Kuchupuka ni tabia zaidi.

Bazazi

Danganya vitoto Mkuu.

Kwanza mlipzaliwa miaka ya 75 Kurudi chini hamna cha kutuambia miaka hii. Maana mlishindwa karibia vitu vyote
 
Kunguru hafugiki mjomba, nilimtoa bikra mimi mwenyewe na bado kucheat alicheat kama kawaida walahi.


Wadanganye watoto.

Ulimtoa bikra na kumuoa au ulikuwa unamchezea tuu
 
Kama huyo binti anapafahamu kwako l,trust me atapitia sheli


Hawezi kuthubutu.

Wanachomea wanaume mabwege.

Ajaribu ndio atajua hajui.

Kama anataka kuwaweka wazazi wake rehani ajaribu kuja kwangu hata kunipigia kelele zake za kipuuzi

Anniogopa, hata wazazi wake wananijua vizuri na kuniogopa labda Kama amechoka kuishi na ndugu zake
 
An

Afikiri sisi hatupendani kama wao

Maana siku zote huwa naamini wanawake hawapendani


Wanawake wanafikiri wao ni wathamani Sana, hawajui thamani Yao ni wao kuwa Safi. Hilo tuu.

Mwanamke akishakuwa Malaya Hana thamani tena
 
Mkuu kama nadanganya hapa Basi Mungu anilaani mimi na kizazi changu chote, nimewahi kukutana na binti wa miaka 24 aliemaliza chuo cha mipango dodoma akiwa mpya kabisa (bikra) na nikamtoa mimi mwenyewe.

Mkuu amini bikra zipo,kuna wanawake wanajua kujiheshimu inategemeana tu na cycle yako ya maisha.Sio rahisi kuwapata kutokana na aina ya maisha wanayoishi ila wapo wengi tu.

Mke wangu pia nilimkuta slid kabisa, ndiomaana mimi huwa namsupport Sana mkuu Jokajeusi .


Huyo ni mshamba,
Wanawake bikra wapo kibao na wazuri wenye akili zao.
Mtu akishakuwa Fisi hupenda mizoga
 
Hongera sana joka jeusi, umemuokoa J. bi harusi angemegwa sana siku moja kabla ya harusi kisha akaachiwa aende nae fungate.

Ndio maana huwaga nawaambia Vijana hakikisha unaoa mwanamke mwenye bikra.umuharibu mwenyewe mkiwa ndoani lakini sio kuchukua vilivyoharibiwa na wahuni
 
Wataoana. Trust me. Na wewe utakuwa adui yao namba moja. Usipende kujihusisha na mambo ya watu wawili hadharani hasa wenye akili za kitoto kama huyo mdogo wako
Huo ndiyo uamuzi uliostahili kuchukuliwa_mm ninamtoto wa dada yangu aliwahi niletea kesi kama hiyo nikamshauri akanikaidi yalimkuta makubwa...!!
Haiwezekan mwanamke katolewa posa halafu anazini na mwingine hiyo ndoa ataipa heshima yake?
 
Wataoana. Trust me. Na wewe utakuwa adui yao namba moja. Usipende kujihusisha na mambo ya watu wawili hadharani hasa wenye akili za kitoto kama huyo mdogo wako
Unaogopa kumlinda ndugu yako kisa unaogopa utajenga uadui naye? Issue ya bikra sidhani kama ni practicable kwa dunia hii lakini mwanamke anaendekeza wanaume wakati ana mchumba siyo jambo la kupuuzia.
 
Iko hivi. Sera ya mkuu jokajeusi naielewa kiasi.

Lakini naomba niitimilize. Mwanaume pale unapoanza kujitambua si uache kufunua wanawake sketi zao. Wewe unakitembeza nje kwa spidi ya 4G sa unategemea utapata hiyo sealed?

Kama mwanaume una hulka ya kikahaba utapata kahaba vilevile. Lakini kama mwanaume unajitambua, kwamba si kila shimo la kuingia, kwamba unazisemesha hisia zako, kwamba kichwa cha chini unaweza kukicontrol basi na wewe utapatiwa hitaji lako.

Lakini ikiwa wewe kwa siku unaweza lala wanawake tofauti na ukajiona "ndio mi si mwanaume, hela za kwangu, tamaa imeniwaka vibaya mno" usifikiri GOD will bring you such a gift. Ni wachache sana hupata neema hiyo.

Na pia sealed is worthy but its not all that matters. Sealed + Hofu ya Mungu+ Ibada + Upendo vyoooote na vingine zaidi na zaidi.

Men, just stay in God's lane muone kama hamtaletewa package special...

#sijuiwatanielewa#
 
Anaoa Mgogo huyu J ana akili kweli?! Wagogo hawafai Nyikani hata Mwituni. Mtu yupo kwenye uchumba kuelekea kuolewa anajiuza. Pigeni chini mzao wa SABUFA huo.
 
Wakuu kwema!

Jana jumamosi nilikuwepo kwenye Kikao kilichofanyika Tegeta Tangibovu.

Kikao kilimhusu mtoto wa Baba Mkubwa, ambaye kiumri anamiaka 29 nikiwa nimemzidi miaka Kama sita hivi.

Mtoto wa Baba mkubwa ambaye jina lake linaanzia na herufi J, miezi minne iliyopita yaani mwezi wa tatu, alitoa Posa Kwa binti mmoja mwenye asili ya Dodoma.
Baada ya kutoa mahari, ndoa ilipangwa ifungwe mwezi wa Tisa tarehe 27.

Michango ilichangwa, wanandugu na watu wa karibu tuliambiwa tuchangie 100,000 Kwa single na 150,000 Kwa double.
Michango ilianza Rasmi mwezi wa sita. Na 70% wamechanga .

Mwezi Saba Mwanzoni J alinipigia simu akitaka tuonane.
Tukapanga siku tukaonana pale Ubungo Plaza,
Akanieleza jinsi alivyochanganywa na mchumba wake baada ya kuzifumania SMS za hovyo za mapenzi kwenye simu ya mchumba wake.
Kwa mujibu WA maelezo yake ni kuwa Mchumba wake anamegwa na huyo msela ambaye ni mwajiriwa katika Benk Maarufu hapa Nchini.

Nikamuuliza, alivyoongea na mchumba wake ikawaje,
Akanijibu kuwa Mchumba wake alikuwa mkali Kama mbogo.

Nilikamuuliza swali la lazima ambalo wengi wanaoniombaga ushauri huwa nawauliza.
"ulimkuta Bikra huyo mchumba wako?"
Akanijibu hapana.

Nikamwambia Piga chini wala usijishauri na wala usisubiri nikushauri zaidi.

Fukuza, mwambie umeghairi kumuoa.
Akaniambia, lakini bado anampenda, nikamwambia Kama unampenda ulichoniitia ni kitu gani Kama sio upumbavu wake.

Nikamtolea mifano ya ndugu niliowashauri wakavunja Uchumba usio na mbele Wala nyuma na sasa wanafurahia maisha Kama jokajeusi.

Akanambia atafikiria. Nikamwambia asiniite tena mpaka atakapokuwa amempiga chini. Tukapotezana Kwa wiki mbili hivi.
Mwanzo mwa wiki iliyopita mambo yalikuwa mabaya Sana.

Mwanamke anamuomba msamaha, vikao vimekuwa vingi sasa dogo anazidiwa ushawishi na pande zote mbili. Wote wanamshauri amuoe.
J aliwaambia Baba Mkubwa hataki kumuoa mchumba wake na hakuwaambia ukweli wote, isipokuwa alitoa sababu za kawaida.

Sasa ijumaa Dogo akanambia ananiomba kwenye kikao cha jumamosi ambayo ni Jana.
Ili nimuunge Mkono kwenye msimamo wake.

Jana kwenye kikao,
Nimechafua upepo, nimeeleza kila kitu,

Nikamuuliza mchumba wake J,
"Unafikiri ni Kwa nini unastahili kuolewa na J na sio mwanamke mwingine?"
Akanijibu Kwa sababu anampenda na anatabia njema.

Nikamuuliza,
"Ni kipi unamaanisha ukisema unatabia njema?"
Akajibu kuwa atamheshimu na kumsikiliza.

Nikamuuliza,
"Kwa mfano J akasema anatafuta mwanamke mwenye bikra Kama ishara ya tabia njema Kwa mwanamke, je utakuwa nayo hiyo bikra?"

Hapo nikamuona Shemeji yangu akijaa upepo, amepaniki, kikao kikaingiliwa na wakubwa upande huu na upande huu wakilipinga swali langu kumstahi binti wa watu.

Mwisho nikasema,
Binti huyu atamsumbua kijana wetu. Hajaolewa, mchakato wa Harusi yake na ndugu yetu unaendelea yeye analala na wanaume wengine.

Kama ningekuwa ni amri yangu, basi hapa hakuna Harusi,
Baada ya hapo James akaniunga Mkono tukatoka tukiacha wametahamaki huku Mchumba wake J akitufuata nyuma akimlilia James.

Bikra Matters
Tunaendeleza kuharibu tu. Kutoka kumharibia dogo wetu aliyetaka kuoa single mama mpaka kwa huyu mtoto wa kambo wa SABUFA.
 
Back
Top Bottom