figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Yeriko Nyerere aliwaingiza chaka wakina John Mrema. Eti Mbowe kamwambia anajiunga nao.. Sasa wanamsumbua John Heche wakitaka kurudi.
Waliahidiwa Vyeo... Ila havijapatoka.. Wamekata tamaa..
Salum Mwalimu anafanya biashara gani hadi ajenge Ghorofa Dodoma?
Wengine hata hamu ya kuandika vitabu imeisha.. Anaishia kupata bando ya kuichafua CHADEMA kisa harrier tako la nyani🤣🤣🤣