Ccm ni wajanja sana inawatumia tena kurudi kuichafua, Chadema kwa ujinga watakubaliYeriko Nyerere aliwaingiza chaka wakina John Mrema. Eti Mbowe kamwambia anajiunga nao.. Sasa wanamsumbua John Heche wakitaka kurudi.
Waliahidiwa Vyeo... Ila havijapatoka.. Wamekata tamaa..
Salum Mwalimu anafanya biashara gani hadi ajenge Ghorofa Dodoma?
Wengine hata hamu ya kuandika vitabu imeisha.. Anaishia kupata bando ya kuichafua CHADEMA kisa harrier tako la nyani🤣🤣🤣
View attachment 3575685
Kileo akajiunga CHAUMMA kumfuata Moza Ally kumbe naye Moza Ally anamfuata Salum Mwalim. Kileo kabaki akielea hajui pa kushikaSalum Mwalimu kawadhulumu wenzake fedha yote katua yeye na malaya wake.
Hashim Spunda Rungwe
Alifika Bei Maana Oops Saa Hizi Chali
Huyu Mheshimiwa ni mtu wa karibu sana na Lissu.
Naamini walioko Chaumma ndio wanaoifikiria Chadema, ndio maana kila kukicha wanaonekana kujutia makosa yao ya kuhama chama.Chadema muda wanaotumia kuwafikiria walioko Chaumma wangekuwa wanautumia kumpambania Mwenyekiti wao angeisha achiwa. Sasa hivi wanambembeleza Halima arudi!
Hata waliopo Chaumma wakiamua kurudi Chadema itakuwa sawa tu. Hasa ukizingatia kuwa Chadema inaanza kuimba wimbo wa Chaumma. Sitashangaa kama baada ya majadiliano ya maridhiano watakubali kushiriki katika chaguzi zinazokuja.
Aidha, badala ya kupambana na CCM wao wanapambana na Chaumma.
Amandla...
Dah 😂
Na wewe Joyce Mukya muda unaohangaika na Chadema ungeutumia kumliwaza Sultan Mbowe angeshakuoa kabisaChadema muda wanaotumia kuwafikiria walioko Chaumma wangekuwa wanautumia kumpambania Mwenyekiti wao angeisha achiwa. Sasa hivi wanambembeleza Halima arudi!
Hata waliopo Chaumma wakiamua kurudi Chadema itakuwa sawa tu. Hasa ukizingatia kuwa Chadema inaanza kuimba wimbo wa Chaumma. Sitashangaa kama baada ya majadiliano ya maridhiano watakubali kushiriki katika chaguzi zinazokuja.
Aidha, badala ya kupambana na CCM wao wanapambana na Chaumma.
Amandla...
Ila CCM wanajua kumdhalilisha mtu
wamejifunza kitu. wacha warudi kupigania hakiKwan chama cha siasa ni Chadema peke yake?
Waombe kujiunga na Vyama vingine hata TLP sio mbaya
Wanaume saazingine tunapenda wanawake kwa vigezo vya kuchekesha sana.😄😄🤣😁Lizuri balaa,lina sauti ya zege
Mimi sijamsikia hata mmoja akijutia kuhama Chadema. Wanaosema kuwa wanajutia ni wana Chadema. Ni Yericko tu katika waliohama ndir anawaongelea vibaya Chadema.Naamini walioko Chaumma ndio wanaoifikiria Chadema, ndio maana kila kukicha wanaonekana kujutia makosa yao ya kuhama chama.
Kuanzia mtoto wa Mbowe, na wengine waliokimbilia Chaumma kwa hasira, wakitarajia kupata nafasi za ubunge wakidhani kwasababu ya upinzani wao kuhama Chadema isiyoshiriki uchaguzi, basi CCM ingewapa ubunge kirahisi.
Kwamba siasa mchezo mchafuHashim Spunda Rungwe
Alifika Bei Maana Oops Saa Hizi Chali