Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Useless is your mother's assuseless
Useless is your mother's assuseless
Yericko nyerere nilianza kumdharau alivyofanya copy and paste ya maandiko ya habibu anga(zamani alikua anatumia user name ya "the bold" hapa jf) kwenye kitabu chake cha ujasusi wa kidola na kiuchumi. Nasikia the bold alitaka kumshtaki. Max mero akaingilia kati kumaliza lile suala kwa busara. Kuanzia pale huyo yericko namwonaga tapeli tuYericko Nyerere anapita kama anaaga maiti.
Juzi Heche akihojiwa Wasafi Fm na kina Manara hakuwaongelea vibaya hao waliohama. Alisema wanakaribishwa kurudi Chadema ilimradi wafuate taratibu za chama. Sijawahi kumsikia Heche au kiongozi mwingine akitoa kauli zenye mtazamo tofauti na huo.Mimi sijamsikia hata mmoja akijutia kuhama Chadema. Wanaosema kuwa wanajutia ni wana Chadema. Ni Yericko tu katika waliohama ndir anawaongelea vibaya Chadema.
, wengine wako kimya. Wakati huo huo watu kama Heche hawaachi kuwaongelea vibaya waliohama.
Wengi wa waliohamia Chaumma kutoka Chadema walikuwa viongozi waandamizi wa chama chao wa muda mrefu. Katika muda huo wamesikia hadithi za vyama kama NCCR Mageuzi kuahidiwa viti lakini wapi. Watakuwa watu wa ajabu sana kuamini kuwa CCM itawaachia ubunge.
Tofauti na mnavyosema waliondoka Chadema kwa sababu hawakuamini strategy ya No Reforms No Elections ilikuwa na tija. Na wengine waliandamwa waziwazi na utawala uliopo. Kwa vile hamna chama chenye hati miliki ya upinzani wakaona isiwe taabu wakahamia kwenye chama ambacho kinakubaliana na mtizamo wao na kiko tayari kuwapa nafasi ya kuendeleza siasa za upinzani kwa namna ambayo wangetaka.
Muda utaonyesha kuwa walikuwa sahihi.
Amandla...
Heche alimbeza Salome Kitwanga kuwa hajasoma na alikuwa hana nyumba alipojiunga na Chadema. Huyu ni mwanamke aliyekuwa nae katika Kamati Kuu. Hata katika mahojiano unayozungumzia aliwasema. Aliyesema kuwa wako tayari kumpokea ni Halima Mdee tu huku akitoa mfano wa Antropina ambae amerudi tayari.Juzi Heche akihojiwa Wasafi Fm na kina Manara hakuwaongelea vibaya hao waliohama. Alisema wanakaribishwa kurudi Chadema ilimradi wafuate taratibu za chama. Sijawahi kumsikia Heche au kiongozi mwingine akitoa kauli zenye mtazamo tofauti na huo.
Heche ana usongo na maneno ya shombo kwa wale ambao walikuwa hawakubaliani na strategy za uongozi mpya. Mfano ni namna alivyolishughulikia suala la Sigrada. Mtu pekee ambae amesema wazi kuwa anamheshimu kutoka upande wa pili ni Mbowe. Na sio lazima uongozi utukane. Kukalia kimya matendo ya wanaojifanya ni wafuasi wao ni ishara kuwa wanayaunga mkono. Ndivyo ilivyokuwa wakati wa kampeni za uchaguzi. Mbowe aliwakaripia wafuasi wake wasema ovyo lakini Lissu na Heche wakiwanyamazia.Usichanganye maneno ya wafuasi wa Chadema mitandaoni ukadhani ndio msimamo wa viongozi wa Chadema taifa, mambo hayaendi hivyo.
It is rather late na misguided. Wana harakati ni sehemu muhimu ya upinzani. Vijana wanawasikiliza zaidi kuliko wanavyowasikiliza viongozi wa vyama vya upinzani. Alipaswa kuwakemea kwa kuwataja wale ambao wana waharibia kwa kuendeleza matusi na tuhma za uongo.Ndio maana hata juzi, Mnyika ameonekana kujitenga na wanaharakati, naamini kama viongozi wa Chadema wanajua wanapaswa kufanya hivyo ili kama ikitokea mwanaaharakati amekosea kwa kutoa kauli yenye utata, isionekane ndio msimamo wa Chadema kama taasisi.
Wanaharakati wa kitanzania ni toxic, hawatakiwi kupewe attention.Heche alimbeza Salome Kitwanga kuwa hajasoma na alikuwa hana nyumba alipojiunga na Chadema. Huyu ni mwanamke aliyekuwa nae katika Kamati Kuu. Hata katika mahojiano unayozungumzia aliwasema. Aliyesema kuwa wako tayari kumpokea ni Halima Mdee tu huku akitoa mfano wa Antropina ambae amerudi tayari.
Heche ana usongo na maneno ya shombo kwa wale ambao walikuwa hawakubaliani na strategy za uongozi mpya. Mfano ni namna alivyolishughulikia suala la Sigrada. Mtu pekee ambae amesema wazi kuwa anamheshimu kutoka upande wa pili ni Mbowe. Na sio lazima uongozi utukane. Kukalia kimya matendo ya wanaojifanya ni wafuasi wao ni ishara kuwa wanayaunga mkono. Ndivyo ilivyokuwa wakati wa kampeni za uchaguzi. Mbowe aliwakaripia wafuasi wake wasema ovyo lakini Lissu na Heche wakiwanyamazia.
It is rather late na misguided. Wana harakati ni sehemu muhimu ya upinzani. Vijana wanawasikiliza zaidi kuliko wanavyowasikiliza viongozi wa vyama vya upinzani. Alipaswa kuwakemea kwa kuwataja wale ambao wana waharibia kwa kuendeleza matusi na tuhma za uongo.
Amandla...
Heche ni Makamu Mwenyekiti na Kaimu Mwenyekiti wa Chadema. Lolote atakalo sema litachukuliwa kama anazungumza kwa niaba ya chama chake. Kuhusu Susan Kiwanga, alim sema katika mkutano wa hadhara. Alisema " huyu mama, huyu mama huyu alikuwa mama wa ndani, alikuwa hana elimu yeyote ya kutosha kuwa mbunge, uongo kweli?.....alikuwa hana nyumba ya kukaa, anaishi katika nyumba ya kupanga....mimi namjua...leo anakisaliti chama kuisaidia CCM" Video imo humu humu. Ukiitafuta utaipata.Fundi Mchundo.
Nikujibu kwa mfuatano wa hoja zako.
- Suala la Heche kumbeza Salome hilo mimi binafsi sikuwahi kumsikia, kama una ushahidi unaweza kuniwekea niuone. Pamoja na hivyo, bado sioni sababu kwanini uyachukue maneno ya Heche aliyoyatoa kibinafsi kama vile ni msimamo wa Chadema kama taasisi.
KUna usemi kuwa, ili kucheza tango ni lazima wawepo watu wawili". Mwenzako kama ana demand total capitulation, kwa mtu mwenye integrity unampisha aendelee na kile anachoona ni sawa. Wakina Ruge wangebaki Chadema wangetupiwa lawama kwa kila baya ambalo chama hicho kingepitia. Uongozi ambao uliangalia tu wakati Mwenyekiti wao anaitwa msaliti sio wa kuuamini. Ni bora kujikalia pembeni.Haya mambo hasa nikikumbuka mambo yaliyotokea kabla na baada ya ule uchaguzi, kuna wakati inabidi tujivike ngozi ngumu tukubali mengine yapite maisha yaendelee.
Sihitaji awe malaika. Muhimu awe na roho ya kukubali na kujtambua anapokosea. Yeye sio kijana kiasi cha kushindwa kuomba msamaha anapo mkosea mtu. Kwangu mimi ni ishara ya u Trump na watu kama hao hawabadiliki kamwe.- Kauli na matendo ya Heche sioni kwa nini yakunyime raha kiasi hicho, wenge la ujana na uchanga wa uongozi bado vinamsumbua, siku zinasogea anazidi kuyazoea mazingira mapya, hekima inaanza kuwajia, wapewe muda. They are not angels.
Kujitenga na wana harakati WOTE ni kutupa jongoo na mti wako. Ni wana harakati wachache ambao wanajinasibu kama wanachama wa Chadema. Pale wanapokosea, Chadema iseme wazi kuwa haikubaliani na msimamo wao. Ndio uongozi.- Suala la wanaharakati na Chadema hapa napingana nawe.
Naungana na msimamo wa Chadema kujiweka pembeni na wanaharakati, kuna wakati wanaharakati wanaweza kutoa kauli zenye ukakasi mwishowe zikakiponza chama.
Unadhani yaliyotokea tarehe 29 Oktoba ni kwa sababu ya Chadema? Vijana wengi walihamasishwa na watu kama Mange. Ukilinganisha tu idadi ya followers wa Mange na wa Chadema utajua nani anaaminiwa zaidi.Unaposema wanaharakati ndio wanasikilizwa zaidi na vijana napo sijui umetumia kigezo gani. Binafsi sijawahi kuona wapi wanaharakati waliwahi kuitisha maandamano yajawa na mwitikio mkubwa kulinganisha na yale yaliyoitishwa na Chadema.
Lissu akiitisha maandamani itakuwa ni lazima yamepata baraka za serikali. Akiita wakati serikali imeyakataza, hatatokeza mtu. Baadhi ya wanaharakati wameshika mioyo ya wananchi na hawana haja ya kuthibitishwa kwa kupitia maandamano.Au unataka kusema ikitokea siku Lissu akahitisha maandamano, basi yatazidiwa na yale maandamano yatakayoitishwa na wanaharakati walioko nje ya nchi?
Sawa. Hamna taabu.Hapo sikubaliani nawe.
- Sijui kwa nini umegoma kabisa kuacha mambo yapite, Heche sawa ni mtu mzima, lakini sio malaika, ni mwanadamu, hata hilo la kumsema Kiwanga ungeacha Kiwanga mwenyewe atoe msimamo wake, usiumizwe sana na kusemwa Kiwanga zaidi labda ya ambavyo ameumizwa mhusika mwenyewe.Heche ni Makamu Mwenyekiti na Kaimu Mwenyekiti wa Chadema. Lolote atakalo sema litachukuliwa kama anazungumza kwa niaba ya chama chake. Kuhusu Susan Kiwanga, alim sema katika mkutano wa hadhara. Alisema " huyu mama, huyu mama huyu alikuwa mama wa ndani, alikuwa hana elimu yeyote ya kutosha kuwa mbunge, uongo kweli?.....alikuwa hana nyumba ya kukaa, anaishi katika nyumba ya kupanga....mimi namjua...leo anakisaliti chama kuisaidia CCM" Video imo humu humu. Ukiitafuta utaipata.
KUna usemi kuwa, ili kucheza tango ni lazima wawepo watu wawili". Mwenzako kama ana demand total capitulation, kwa mtu mwenye integrity unampisha aendelee na kile anachoona ni sawa. Wakina Ruge wangebaki Chadema wangetupiwa lawama kwa kila baya ambalo chama hicho kingepitia. Uongozi ambao uliangalia tu wakati Mwenyekiti wao anaitwa msaliti sio wa kuuamini. Ni bora kujikalia pembeni.
Sihitaji awe malaika. Muhimu awe na roho ya kukubali na kujtambua anapokosea. Yeye sio kijana kiasi cha kushindwa kuomba msamaha anapo mkosea mtu. Kwangu mimi ni ishara ya u Trump na watu kama hao hawabadiliki kamwe.
Kujitenga na wana harakati WOTE ni kutupa jongoo na mti wako. Ni wana harakati wachache ambao wanajinasibu kama wanachama wa Chadema. Pale wanapokosea, Chadema iseme wazi kuwa haikubaliani na msimamo wao. Ndio uongozi.
Unadhani yaliyotokea tarehe 29 Oktoba ni kwa sababu ya Chadema? Vijana wengi walihamasishwa na watu kama Mange. Ukilinganisha tu idadi ya followers wa Mange na wa Chadema utajua nani anaaminiwa zaidi.
Lissu akiitisha maandamani itakuwa ni lazima yamepata baraka za serikali. Akiita wakati serikali imeyakataza, hatatokeza mtu. Baadhi ya wanaharakati wameshika mioyo ya wananchi na hawana haja ya kuthibitishwa kwa kupitia maandamano.
Sawa. Hamna taabu.
Amandla...
Alishavuta Mpunga wakeYericko Nyerere anapita kama anaaga maiti.
Well saidHeche ni Makamu Mwenyekiti na Kaimu Mwenyekiti wa Chadema. Lolote atakalo sema litachukuliwa kama anazungumza kwa niaba ya chama chake. Kuhusu Susan Kiwanga, alim sema katika mkutano wa hadhara. Alisema " huyu mama, huyu mama huyu alikuwa mama wa ndani, alikuwa hana elimu yeyote ya kutosha kuwa mbunge, uongo kweli?.....alikuwa hana nyumba ya kukaa, anaishi katika nyumba ya kupanga....mimi namjua...leo anakisaliti chama kuisaidia CCM" Video imo humu humu. Ukiitafuta utaipata.
KUna usemi kuwa, ili kucheza tango ni lazima wawepo watu wawili". Mwenzako kama ana demand total capitulation, kwa mtu mwenye integrity unampisha aendelee na kile anachoona ni sawa. Wakina Ruge wangebaki Chadema wangetupiwa lawama kwa kila baya ambalo chama hicho kingepitia. Uongozi ambao uliangalia tu wakati Mwenyekiti wao anaitwa msaliti sio wa kuuamini. Ni bora kujikalia pembeni.
Sihitaji awe malaika. Muhimu awe na roho ya kukubali na kujtambua anapokosea. Yeye sio kijana kiasi cha kushindwa kuomba msamaha anapo mkosea mtu. Kwangu mimi ni ishara ya u Trump na watu kama hao hawabadiliki kamwe.
Kujitenga na wana harakati WOTE ni kutupa jongoo na mti wako. Ni wana harakati wachache ambao wanajinasibu kama wanachama wa Chadema. Pale wanapokosea, Chadema iseme wazi kuwa haikubaliani na msimamo wao. Ndio uongozi.
Unadhani yaliyotokea tarehe 29 Oktoba ni kwa sababu ya Chadema? Vijana wengi walihamasishwa na watu kama Mange. Ukilinganisha tu idadi ya followers wa Mange na wa Chadema utajua nani anaaminiwa zaidi.
Lissu akiitisha maandamani itakuwa ni lazima yamepata baraka za serikali. Akiita wakati serikali imeyakataza, hatatokeza mtu. Baadhi ya wanaharakati wameshika mioyo ya wananchi na hawana haja ya kuthibitishwa kwa kupitia maandamano.
Sawa. Hamna taabu.
Amandla...
Nagoma kwa sababu sitaki Chadema au chama kingine chochote cha upinzani kiwe kama CCM. Mtazamo wa funika kikombe ili mwana haramu apite ndio kumetufikisha hapa tulipo. Kama viongozi wa Chadema wanaweza kuwafanyia uonevu wenzao waliokuwa nao kwenye chama, watawafanyia nini watakaotofautiana wakiwa wameshika dola? Mwanachama kiongozi mwenzao amedai kupigwa na mlinzi wa kiongozi wa Chadema na hawakujisumbua hata kufanya uchunguzi kuhusu tuhma zake? Hawa wakiwa na mamlaka juu ya polisi, magereza na mahakama si watawafanyia yale yale ambayo wao wanafanyiwa na wahasimu wao? Inawezekana kabisa kuwa Kiwanga alichukulia poa kebehi za Heche lakini kwangu mimi zilikuwa ni ishara mbaya ya ubabe ambao siupendi kabisa.- Sijui kwa nini umegoma kabisa kuacha mambo yapite, Heche sawa ni mtu mzima, lakini sio malaika, ni mwanadamu, hata hilo la kumsema Kiwanga ungeacha Kiwanga mwenyewe atoe msimamo wake, usiumizwe sana na kusemwa Kiwanga zaidi labda ya ambavyo ameumizwa mhusika mwenyewe.
Sio hisia. Mtu yeyote aliyejisumbua kufuatilia yaliyotokea baada ya utawala mpya kushinda angeyaona. Kiongozi hatakiwi kusubiri mambo ya haribike bali kuzuia yasiharibike. Kiongozi mzuri angefanya priority kuwahakikishie wale walio mpinga kuwa wana nafasi katika chama na mtazamo wao utathaminiwa na chama. Hawakufanya hivyo bali waliendekeza visasi. Hayo yalionekana na sio hisia. Maya Angelou alisema mtu akikuonyesha alivyo, muamini. Mimi nimeamini kuwa ubabe ni hulka ya viongozi wa sasa wa CDM.- Suala la kina Ruge kutupiwa lawama, hili naona kabisa ni hisia zako tu. Kazi ya uongozi ni ku deal na mambo yote yatakayotokea wakiwa uongozini, hili lilikuwa jukumu lao kutuliza mambo kama yangeharibika, hakuna sababu ya kuishi kwa hisia.
Vp kuhusu Prado walizopewa. Amerudisha!? Au nayo kahongwa mazima!?Salum ilikuwa ndio lango la kuingiza ruzuku? Kawazika?
Hii nimeisha ijibu.- Sijui kwa nini umegoma kabisa kuacha mambo yapite, Heche sawa ni mtu mzima, lakini sio malaika, ni mwanadamu, hata hilo la kumsema Kiwanga ungeacha Kiwanga mwenyewe atoe msimamo wake, usiumizwe sana na kusemwa Kiwanga zaidi labda ya ambavyo ameumizwa mhusika mwenyewe.
Na hii nimeijibu.- Suala la kina Ruge kutupiwa lawama, hili naona kabisa ni hisia zako tu. Kazi ya uongozi ni ku deal na mambo yote yatakayotokea wakiwa uongozini, hili lilikuwa jukumu lao kutuliza mambo kama yangeharibika, hakuna sababu ya kuishi kwa hisia.
Ni kwa sababu hiyo ndio tunawapima viongozi kwa yale wanayo tamka hadharani na sio privately. Ukimwaga mtama hadharani ni lazima urudi tena hadharani kusahihisha kosa. Kwa sababu hajafanya hivyo, imani yangu ni kuwa ule ulikuwa ndio ukweli wake. Na inathibitishwa na namna ambavyo juzi tu amekataa kutaja jina la chama cha wakina Kiwanga. Ni kiburi tu.- Huwezi jua mambo private ya watu, inawezekana Heche na Suzan wameshaongea pembeni kumaliza tofauti zao [kama kweli zipo, isije kuwa ni hisia zako tu]. Sio lazima kila kitu kiwe public kama ulivyoona hiyo video Heche akimsema Suzan hadharani.
Hao wana harakati walichangia sana kumjenga Lissu dhidi ya Mbowe. Wakina Lema walikuwa wanashinda kwa Maria kujenga hoja kwa nini Mbowe anatakiwa apumzishwe. Wana harakati sio wana siasa, wao wanakuwa na ajenda zao ambazo wanataka zipewe kipaumbele. Mara nyingi wana harakati hawapendi kuingia kwenye siasa za vyama kwa hofu ya kuwa compromised.- Kujitenga na wanaharakati hapawezi kuwa na tatizo lolote kwa Chadema. Hiki chama kimejengwa kwa nguvu kuanzia mashinani pasipo tone la msaada wa hao wanaharakati, sioni sababu iweje leo Chadema iwakumbatie wanaharakati. Kama wanaharakati wanajiona wako vizuri waanzishe chama chao tuone.
Sio kweli. Kama nikivyosema wakina Lema, Lissu na Slaa walikuwa sana Clubhouse. Hamna chama cha siasa makini kinaweza kupuuza nguvu na watu wa mitandao. Watu kama Rogan walicgangia sana ushindi wa Trump Marekani. Mange anaongea lugha ambayo vijana wengi wa ielewa. Ametumia vizuri sana platform yake ya umbeq kujijenga kama mtetezi wa haki za Watanzania. Naamini watu wengi zaidi walimtumia yeye ushahidi wa yaliyotokea tarehe 29 Oktoba kuliko waliowatumia Chadema. Ni mtu wa kumheshimu kwenye hilo.- Suala la wafuasi mtandaoni ni dogo sana. Chadema haijawa serious kutafuta hao watu, kama wakiamua kuwa serious nina hakika Chadema watakuwa na wafuasi wengi zaidi ya hao wanaharakati. Hata wanaharakati wamepata wafuasi wao wengi kwa kufuata umbea kama wa Mange.
Sio rahisi kama unavyosema. Hii vita ya wenyewe kwa wenyewe wanayo endekeza imewarudisha nyuma sana.Chadema itapata wafuasi wengi mtandaoni kwasababu watanzania wengi wanataka mabadiliko. Wawe serious tu kuwahimiza watanzania.
Kama ni hivyo, kwa nini wamesubiri mpaka walipopata baraka za Mahakama kutangaza Maandamano? Wakati wa Mbowe Chadema walikuwa wanafanya vitendo vya resistance hata pale walipozuiwa. Wakina Ruge, Husna, Suzan n.k. hawakuogopa kuwekwa ndani kwa sababu ya kupigania chama chao. Walikuwa wanajilaza Mahakamani, ubalozini na kwengine.- Maandamano ya Lissu sio lazima yapate baraka za serikali, kwasababu hiyo ni haki kikatiba wala sio hisani ya serikali ya CCM.
Utakuwa unajidanganya. Chadema haikuhusika kiasi hicho. Kilichowakera vijana ni post za Mange zikionyesha utajiri wa baadhi wa viongozi ( kisiasa, biashara n.k.) na familia zao wakati wao wanapigwa na maisha.Hao wanaharakati siwezi kuwapa credit 100% kwasababu hata kwenye hayo maandamano hawakuwepo, hivyo siwezi kuthibitisha wao ndio sababu ya kuwepo yale maandamano, naamini sababu ya maandamano ni kukerwa kwa watanzania kuzuiwa Chadema kushiriki ule uchaguzi wa Oktoba last year.
Si vigumu kuelewa kwa nini haya kufanikiwa. Mambo yaliyotokea 29/10 yalikuwa organic na hamna alitegemea yaliyotokea. Baada ya hapo mazingira yamebadilika. Maumivu watakayoweza kuyapata yameondoka kwenye nadhari kuingia kwenye ukweli. Na kingine ni kuwa wachafuaji wengi waliingia ili nao waonekane kama walihusika 29/10. Sidhani kama 29/10 itakuja kutokea tena kwa sababu pande zote zimejifunza.Kuthibitisha hoja yangu, ndio maana yale maandamano mengine ya Dec 9 waliyoitisha wanaharakati hayakufanikiwa licha kuhimizwa sana na wanaharakati mitandaoni.
Amandla...Asante.
Kumbe huyo ndiye Mukya!!Na wewe Joyce Mukya muda unaohangaika na Chadema ungeutumia kumliwaza Sultan Mbowe angeshakuoa kabisa
- Ndugu siasa zetu hizi siku zote hazina visirani vya kudumu, ndio maana tayari tumeshaanza kusikia kelele za wale waliokimbilia Chaumma wakitaka kurejea Chadema. Haya mambo ya mwanachama fulani kupigwa na mlinzi wa kiongozi mwingine, ni issue za kiusalama, sijui kwanini huyo anayedai alipigwa hakuripoti polisi hiyo issue yake, au kufungua kesi mahakamani ili tuone seriousness yake kwenye hilo.Nagoma kwa sababu sitaki Chadema au chama kingine chochote cha upinzani kiwe kama CCM. Mtazamo wa funika kikombe ili mwana haramu apite ndio kumetufikisha hapa tulipo. Kama viongozi wa Chadema wanaweza kuwafanyia uonevu wenzao waliokuwa nao kwenye chama, watawafanyia nini watakaotofautiana wakiwa wameshika dola? Mwanachama kiongozi mwenzao amedai kupigwa na mlinzi wa kiongozi wa Chadema na hawakujisumbua hata kufanya uchunguzi kuhusu tuhma zake? Hawa wakiwa na mamlaka juu ya polisi, magereza na mahakama si watawafanyia yale yale ambayo wao wanafanyiwa na wahasimu wao? Inawezekana kabisa kuwa Kiwanga alichukulia poa kebehi za Heche lakini kwangu mimi zilikuwa ni ishara mbaya ya ubabe ambao siupendi kabisa.
Sio hisia. Mtu yeyote aliyejisumbua kufuatilia yaliyotokea baada ya utawala mpya kushinda angeyaona. Kiongozi hatakiwi kusubiri mambo ya haribike bali kuzuia yasiharibike. Kiongozi mzuri angefanya priority kuwahakikishie wale walio mpinga kuwa wana nafasi katika chama na mtazamo wao utathaminiwa na chama. Hawakufanya hivyo bali waliendekeza visasi. Hayo yalionekana na sio hisia. Maya Angelou alisema mtu akikuonyesha alivyo, muamini. Mimi nimeamini kuwa ubabe ni hulka ya viongozi wa sasa wa CDM.
Amandla...