figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Wengine hata hamu ya kuandika vitabu imeisha.. Anaishia kupata bando ya kuichafua CHADEMA kisa harrier tako la nyani🤣🤣🤣Yeriko Nyerere aliwaingiza chaka wakina John Mrema. Eti Mbowe kamwambia anajiunga nao.. Sasa wanamsumbua John Heche wakitaka kurudi.
Waliahidiwa Vyeo... Ila havijapatoka.. Wamekata tamaa..
Salum Mwalimu anafanya biashara gani hadi ajenge Ghorofa Dodoma?
Wengine hata hamu ya kuandika vitabu imeisha.. Anaishia kupata bando ya kuichafua CHADEMA kisa harrier tako la nyani🤣🤣🤣
View attachment 3575685
Lizuri balaa,lina sauti ya zegeEmbu tuachane na siasa, Huyu mshangazi ni nani? Nina shida nae kwa kweli.
Siasa si uadui. Jitahidi kuwa mwanasiasa.SI UNGI MKONO CHADEMA KUWAPOKEA/KUWAKARIBISHA TENA WASALITI WALIOASI
Kwan chama cha siasa ni Chadema peke yake?Yeriko Nyerere aliwaingiza chaka wakina John Mrema. Eti Mbowe kamwambia anajiunga nao.. Sasa wanamsumbua John Heche wakitaka kurudi.
Waliahidiwa Vyeo... Ila havijapatoka.. Wamekata tamaa..
Salum Mwalimu anafanya biashara gani hadi ajenge Ghorofa Dodoma?
Wengine hata hamu ya kuandika vitabu imeisha.. Anaishia kupata bando ya kuichafua CHADEMA kisa harrier tako la nyani🤣🤣🤣
View attachment 3575685
uselessYeriko Nyerere aliwaingiza chaka wakina John Mrema. Eti Mbowe kamwambia anajiunga nao.. Sasa wanamsumbua John Heche wakitaka kurudi.
Waliahidiwa Vyeo... Ila havijapatoka.. Wamekata tamaa..
Salum Mwalimu anafanya biashara gani hadi ajenge Ghorofa Dodoma?
Wengine hata hamu ya kuandika vitabu imeisha.. Anaishia kupata bando ya kuichafua CHADEMA kisa harrier tako la nyani🤣🤣🤣
View attachment 3575685
NdioYana ukweli mambo haya?