Duh Aisee
JF-Expert Member
- Jul 28, 2025
- 1,297
- 860
SafiAsante sana.
Nimeshapoa
SafiAsante sana.
Nimeshapoa
Najua ni baba yangu, ila kama aliniacha nina miezi 5 mpaka leo ninakimbilia miaka ya utu uzima na wala hakuja kututafuta huyo ni zaidi ya muuaji.Haitabadirisha uhalisia kuwa ni baba yako.
1. Forgive yourself.
2. Forgive your parents.
3. Forgive others.
Hii husaidia sana kuondoa msongo wa mawazo na Blood Pressure. Na ukimsamehe huyu mzee utabarikiwa zaidi.
Ondoa kinyongo uishi maisha marefu.Najua ni baba yangu, ila kama aliniacha nina miezi 5 mpaka leo ninakimbilia miaka ya utu uzima na wala hakuja kututafuta huyo ni zaidi ya muuaji.
Wala sihitaji msaada wake tena.
Asante.Story yako inahuzunisha. Je ubin unatumia wa baba yako?
Oohh sio mbaya. Mungu akupe faraja maishani.Asante.
Nimekuwa nikiitwa Nusratt Juma.
Na niliwahi kumuuliza bibi Juma ndie baba au nani?
Aliniambia tu ni jina la mjomba wangu, mdogo wake marehemu mama ambae nae ni marehemu.
Nikamwambie nionane na huyo mjomba Juma ila bibi alikataa kabisa na kusema nae alifariki.
Yaani Juma Rajabu.
Kuna akina Juma Rajabu wangapi?
Yaani bibi alikuwa haniweki wazi kabisa
Bibi kwa kipindi chote hicho hakukuonyesha ndugu zako wengine? Bibi hakua anatembelewa na ndugu wengine miaka yote uliyoishi naye? Bibi hakuwahi kukuweka karibu na ndugu zako weengine ambao ungeweza kuwafahamu? Bibi hakuwahi kukuelezea upande wa mama yako au upande wa baba yako ni wakina nani?Mungu aendelee kumrehemu mama yangu, bibi yangu na pacha wangu. Hao ndio ndugu zangu kwani sikuwahi kumjua ndugu yangu yeyote yule.
Bibi alikuwa msiri sana.Bibi kwa kipindi chote hicho hakukuonyesha ndugu zako wengine? Bibi hakua anatembelewa na ndugu wengine miaka yote uliyoishi naye? Bibi hakuwahi kukuweka karibu na ndugu zako weengine ambao ungeweza kuwafahamu? Bibi hakuwahi kukuelezea upande wa mama yako au upande wa baba yako ni wakina nani?
Mimi nilipekwa bush ambako tunamiliki kijiji babu mzaa babu alikua anamiliki eneo kubwa sana kipindi hicho kila mkoa ni km Nchi kabla haijafanywa kua mikoa alikua ni km chifu fulani kwenye eneo hilo wanaishi wale tu wanaohusika na huo ukoo ni eneo kubwa sana kwa hio nilipofika nikajua labda ni km huku mjini tu watu wanaotoka maeneo tofauti kumbe pale wote ni ndugu zangu siku nakuja kuambiwa na kuna kamanzi nilikua nakatolea macho kumbe ni ndugu yangu damu moja nilichoka ilibakia nusu kidogo ningepita nae
Mkoa ganiBibi alikuwa msiri sana.
Huwezi amini tulikuwa tunaishi 3 tu.
Mimi, bibi na msichana mwingine ambae bibi anasema nae alitelekezewa na mtu pale.
Kiufupi sielewi chochote.
Na bibi alikuwa si mtu wa kujichanganya.
Alikuwa yuko peke yake.
Tangu nakua nilikuwa naona watu wakija ila sikuwa na akili ya kuuliza
Basi wewe una tatizo sio Bibi, msiri usiri wake ulikua upi km angekua msiri asingekwambia ulitelekezwa au labda alikuiba sehemu kwa hio anafinya siri usijue ulipotoka uliibwaBibi alikuwa msiri sana.
Huwezi amini tulikuwa tunaishi 3 tu.
Mimi, bibi na msichana mwingine ambae bibi anasema nae alitelekezewa na mtu pale.
Kiufupi sielewi chochote.
Na bibi alikuwa si mtu wa kujichanganya.
Alikuwa yuko peke yake.
Tangu nakua nilikuwa naona watu wakija ila sikuwa na akili ya kuuliza
🤣🤣🤣🤣 Kwanini unaleta masihara kwenye masikitiko?Pole mkuu yote mipango ya mola,alitakalo yeye ndio Huwa,.
Mimi pia tulizaliwa pacha na mwenzangu binti kiziwi Mungu mkubwa wote tupo hai ila tu hatuna mahusiano mazuri kila siku ugomvi,shari,..