Yamekuwa hayo tena!!Utajiju....
hakuna.... nakupenda wewe tuNi nani mbaya wangu
Haya mumie ila uwe unakumbuka hata salamu jamani!![emoji6]na Vin Diesel lol
Salaam aleykum ndg. mstaarabu wa JF !!!Haya mumie ila uwe unakumbuka hata salamu jamani!![emoji6]
Hahaha eti mstaarabu like serious mie mstaarabu?au haujaingia anga zangu?Salaam aleykum ndg. mstaarabu wa JF !!!
Hata mm wakati wwte naweza kutokomea. Kuna umri ukifika unabid uwaachie wadogo zako. Sio baba yupo Jf na mtoto pia yupo jf. Sio vizuri.
Muda ukifika, sitajishughulisha na mtandao wwte wa kijamii.
Karibu sana nitaingia anga zako maana nimeshanunua "parachutee ya kuteremkea"Hahaha eti mstaarabu like serious mie mstaarabu?au haujaingia anga zangu?
Kuna wakati kaka muda wa kuitumikia JF unaeksipaya...
Sikio lote hilo mtoto wa kiume ntaanzia wapi kulijaza???Eeenhe!! Wanasemaje?[emoji101] [emoji101] [emoji101]
Unaujaza tu kwani unashindwa nn?Sikio lote hilo mtoto wa kiume ntaanzia wapi kulijaza???
heh...exclusive to aficionados 😀Mkuu we naujua msimu wako, ikifika tu nitakuwa nakuona.
Ila huu mwaka siuelewi kabisa, ngoja tuone.
heh...exclusive to aficionados 😀
huwa nina tabia ya ku screenshot coments.., sasa sasa siku nazipitia pitia kwa raha zangu, kuna dogo alikuwa anachungulia, nikasikia 'eti kaka hao si akina miss chagga wa jamii?'Unaujaza tu kwani unashindwa nn?
....as villains...Nasubiri mbwembwe zenu msimu ukianza!
....as villains...
Teh teh teeeeh! Haya bwana.huwa nina tabia ya ku screenshot coments.., sasa sasa siku nazipitia pitia kwa raha zangu, kuna dogo alikuwa anachungulia, nikasikia 'eti kaka hao si akina miss chagga wa jamii?'
angalau umeelewa, kabla sijalazimika kutumia maneno kama 'inahu'Teh teh teeeeh! Haya bwana.
hakuna.... nakupenda wewe tu