Nimewamiss MMU members waliotoweka ghafla

Nimewamiss MMU members waliotoweka ghafla

Hata mm wakati wwte naweza kutokomea. Kuna umri ukifika unabid uwaachie wadogo zako. Sio baba yupo Jf na mtoto pia yupo jf. Sio vizuri.
Muda ukifika, sitajishughulisha na mtandao wwte wa kijamii.

Dah, mkuu hii point ni kubwa sana umeandika.

Halafu unakuta nyote mko kwenye thread moja baba na binti MMU mnabishana au mnaongoea ujinga Jukwaa la Wakubwa, aisee kweli ni balaa.

Kuna muda unafika kweli inabidi kustaafu, atleast baadhi ya majukwaa.
 
huwa nina tabia ya ku screenshot coments.., sasa sasa siku nazipitia pitia kwa raha zangu, kuna dogo alikuwa anachungulia, nikasikia 'eti kaka hao si akina miss chagga wa jamii?'
Teh teh teeeeh! Haya bwana.
 
Back
Top Bottom