Have a great morning wa kienyeji..Nafurahi kusikia uko salama.
Niko salama pia mr Z
Tumekumiss piaMko salama wapendwa? imekuwa kitambo sana jamani leo nikasema nimepata kaupenyo kidogo wacha niwajulie hali๐๐
Nimewakumbuka sana marafiki wangu wa JF๐
Nikipata tena upenyo nitakuja kuleta uzi wa kutafuta mume๐๐๐
Kisses and hugs from this side to yours, wakuu๐ฅฐ
Thank you Daddy ๐๐Mimi baba yako hapa nikiwa na marafiki zangu tunakutakia kila la heri. Japo maisha yanakaba sana lakini kamwe usisahau kuyafurahia maana (maisha) ni haya haya hakuna mengine. Nice to hear that you are OK!
Stay blessed!
View attachment 3001916
รงa va bien......Asante sana blaza.Uko salama?
Ukikuja toka london usinisahau kunitagi mkuu, namimi natafuta waifu matirio, napatikana huku mpigamiti vileji...๐Mko salama wapendwa? imekuwa kitambo sana jamani leo nikasema nimepata kaupenyo kidogo wacha niwajulie hali๐๐
Nimewakumbuka sana marafiki wangu wa JF๐
Nikipata tena upenyo nitakuja kuleta uzi wa kutafuta mume๐๐๐
Kisses and hugs from this side to yours, wakuu๐ฅฐ
Nzuri kabisa mkuu tupo tunapambanaOhoooโฆ๐๐๐
Asante sana best yangu.
Habari ya siku nyingi?
wewe ndo akili fupi endelea kuuguza maumivu.Uko na akili fupi kama punje ya haradali๐ฅ