Nimewamiss watu wangu wa nguvu

Nimewamiss watu wangu wa nguvu

Mimi baba yako hapa nikiwa na marafiki zangu tunakutakia kila la heri. Japo maisha yanakaba sana lakini kamwe usisahau kuyafurahia maana (maisha) ni haya haya hakuna mengine. Nice to hear that you are OK!

Stay blessed!

downloadfile-40.jpg
 
Mko salama wapendwa? imekuwa kitambo sana jamani leo nikasema nimepata kaupenyo kidogo wacha niwajulie hali😉😉

Nimewakumbuka sana marafiki wangu wa JF😍

Nikipata tena upenyo nitakuja kuleta uzi wa kutafuta mume💃💃💃

Kisses and hugs from this side to yours, wakuu🥰
Tumekumiss pia
Karibu tena
 
Ukikuja toka london usinisahau kunitagi mkuu, namimi natafuta waifu matirio, napatikana huku mpigamiti vileji...😜
 
Back
Top Bottom