GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Wanikome mara ngapi labda Mkuu?Na Leo watakukoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanikome mara ngapi labda Mkuu?Na Leo watakukoma.
Siku yako leo ya kujichukulia point mkuu popoma 😀,umepiga mule muleMimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Aliyekuambia kuwa Yanga SC hawarogi ni nani? Huna Akili na kama hujui Mambo uwe unanyamaza tu ili tunaoyajua tukuambie ili nawe Mshamba / Mngandamba Mmoja ufaidike sawa?Timu Yao ukiwadhibiti kwenye uchawi tu, unajipigia bila shida.
Na hapo bado Mkuu watafungwa mno.Siku yako leo ya kujichukulia point mkuu popoma 😀,umepiga mule mule
Hakuna mwingine JamiiForums nzima.Genta the king, haha
Uko vizuri ni wakati wao sasa kusikiliza ushauriNikisema GENTAMYCINE niheshimiwe mno hapa JamiiForums na nijengewe Sanamu langu mnielewe tafadhali sawa?
Zawadi ya Tunu / Shani nilizopewa na Mwenyezi Mungu ni Kubwa na Nyingi na hakuna Mwanadamu wa Kuziondoa Kwangu labda niwe Nimekufa.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
GENTAMYCINE amegonga mulemuleSiku yako leo ya kujichukulia point mkuu popoma 😀,umepiga mule mule
ahaa wapi, hii ndiyo Simba sc yenyewe wacha ile ya fugisu za nje ya uwanja, nadhani mmenielewa...Kuna watu mnaona mbali sana.
Kumbe wewe ndiyo Popoma? by the way hiyo ndiyo Simba sc yako tunayoijua ukiondoa zile fluke za nje ya uwanja nawe inalijua hilo bila shakaMarahaba.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Leo mbona kazi ipo!Siku yako leo ya kujichukulia point mkuu popoma [emoji3],umepiga mule mule
Povu lanini?Uliwasaidia hao Simba kuloga? Uwege na akiba ya maneno..kwahyo kama jwaneng walilalamikiwa mpka na wydad uliona wao ni malaika?
TuliaPovu lanini?
Kula chuma hicho....
-Sasa naomba kuanzia Kesho tarehe 6 Machi, 2024 na kuendelea tuwe tunahesabu Alama ( Points ) ambazo tutakuwa tunazipata katika Uwanja HATARI KWETU wa CCM Jamhuri Mkoani Morogoro ambako kwa UPUMBAVU WETU ndiyo tumeuchagua rasmi kuwa Uwanja wetu wa Nyumbani kwa Mechi zote za Ligi Kuu ya NBC.
Mnadhani Mechi za Ligi Kuu yenye UMAFIA MWINIGI na NGUMU ni rahisi kama kucheza na Jwaneng Galaxy FC ambayo mmeifunga kwa msaada mkubwa wa nguvu kutoka Wizarani ( Serikalini ) ili tu kuhakikisha kwa namna yoyote ile kwa msaada wa Kuhonga Waamuzi, Kuachiwa Uwanja kwa Kuroga kwa Kufuru na mtakavyo na kwa kufanya Umafia wa kutumia Dawa katika Vyumba ( Watu wa Mpira tunaiita 4-4-2 ) na hatimaye Tanzania iweke Rekodi CAF ya kuingiza Timu Mbili katika Klabu Bingwa Afrika?
GENTAMYCINE najua ni Wachache mno MTANIELEWA katika hili na kujua kwanini mara kwa mara NIMEWAONYA na NIMEWAKATAZA kuwa msiutumie Uwanja wa CCM Jamhuri Mkoani Morogoro kama Uwanja wenu wa Nyumbani bali katumieni Uwanja wa CCM Mkwakwani Mkoani Tanga ambao nina uhakika nao kwa 100% ndiyo Uwanja wenye BARAKA KWETU KIMATOKEO kuliko huo wa NUKSI na MACHINJIONI Kwetu wa Mkoani Morogoro ambako kwa 90% uko chini ya HIMAYA / NGOME ya WAPINZANI Wetu wakubwa na hapo TUTAUMIA na TUTAUMIZWA sana KIMATOKEO kwakuwa wana DNA nao na hata WATAALAMU wao HATARI kadhaa wanatokea huo huo Mkoa.
Karibuni katika KUNITUSI Malaika Ok?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!Duuh, we ni noma!
Kama Mamaako Mzazi vile.Saa mbovu leo imesema kweli.
Najua HATERS na HYPOCRITES wa mfano wako mmeumia mno na Mimi kupatia kile nilichokionya awali ( jana Jumanne ) hapa JamiiForums.Siku yako leo ya kujichukulia point mkuu popoma 😀,umepiga mule mule