Nimewaonya mapema tu kuwa kamwe msiutumie Uwanja wa Jamhuri Morogoro kama wa Nyumbani, bali tumieni CCM Mkwakwani Tanga mmenipuuza Asanteni

Nimewaonya mapema tu kuwa kamwe msiutumie Uwanja wa Jamhuri Morogoro kama wa Nyumbani, bali tumieni CCM Mkwakwani Tanga mmenipuuza Asanteni

Nikisema GENTAMYCINE niheshimiwe mno hapa JamiiForums na nijengewe Sanamu langu mnielewe tafadhali sawa?

Zawadi ya Tunu / Shani nilizopewa na Mwenyezi Mungu ni Kubwa na Nyingi na hakuna Mwanadamu wa Kuziondoa Kwangu labda niwe Nimekufa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Uko vizuri ni wakati wao sasa kusikiliza ushauri
 
Sasa naomba kuanzia Kesho tarehe 6 Machi, 2024 na kuendelea tuwe tunahesabu Alama ( Points ) ambazo tutakuwa tunazipata katika Uwanja HATARI KWETU wa CCM Jamhuri Mkoani Morogoro ambako kwa UPUMBAVU WETU ndiyo tumeuchagua rasmi kuwa Uwanja wetu wa Nyumbani kwa Mechi zote za Ligi Kuu ya NBC.

Mnadhani Mechi za Ligi Kuu yenye UMAFIA MWINIGI na NGUMU ni rahisi kama kucheza na Jwaneng Galaxy FC ambayo mmeifunga kwa msaada mkubwa wa nguvu kutoka Wizarani ( Serikalini ) ili tu kuhakikisha kwa namna yoyote ile kwa msaada wa Kuhonga Waamuzi, Kuachiwa Uwanja kwa Kuroga kwa Kufuru na mtakavyo na kwa kufanya Umafia wa kutumia Dawa katika Vyumba ( Watu wa Mpira tunaiita 4-4-2 ) na hatimaye Tanzania iweke Rekodi CAF ya kuingiza Timu Mbili katika Klabu Bingwa Afrika?

GENTAMYCINE najua ni Wachache mno MTANIELEWA katika hili na kujua kwanini mara kwa mara NIMEWAONYA na NIMEWAKATAZA kuwa msiutumie Uwanja wa CCM Jamhuri Mkoani Morogoro kama Uwanja wenu wa Nyumbani bali katumieni Uwanja wa CCM Mkwakwani Mkoani Tanga ambao nina uhakika nao kwa 100% ndiyo Uwanja wenye BARAKA KWETU KIMATOKEO kuliko huo wa NUKSI na MACHINJIONI Kwetu wa Mkoani Morogoro ambako kwa 90% uko chini ya HIMAYA / NGOME ya WAPINZANI Wetu wakubwa na hapo TUTAUMIA na TUTAUMIZWA sana KIMATOKEO kwakuwa wana DNA nao na hata WATAALAMU wao HATARI kadhaa wanatokea huo huo Mkoa.

Karibuni katika KUNITUSI Malaika Ok?
-
 
Back
Top Bottom