Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Fakiria taratibu usifanye haraka hujui kesho Bwashee atakuja na nini, hatabiriki huyu.Kwa hii post yako naanza kukufikiria kukutoa kwenye ignore list yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fakiria taratibu usifanye haraka hujui kesho Bwashee atakuja na nini, hatabiriki huyu.Kwa hii post yako naanza kukufikiria kukutoa kwenye ignore list yangu
Yuko sahihi kuhamia CCM, lakini siyo kwa aliyosema.Lijualikali yupo sahihi
Kula hela na kubadilisha matumizi ni tofauti,Kwa mfano MTU ana tsh million 20 amepanga kununua gari baadae akbadili mawazo nakuamua kujenga nyumba.Hugo utsema amekula hela au amebadili matumizi?!Sijui huelewi Nini? Kwa akili yako unaona kubadilisha matumizi siyo kula hela? Unaona ni sawa fedha za kusaidia wagombea kwenye kampeni zikabadilishwa matumizi na zikatumika na mwenyekiti kunywea pombe na kuhudumia nyumba zake ndogo huko siyo kula hela? Ataeleza Sasa alizitumiaje 8.9 billion.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msomi CAG angesema kwenye taarifa take.Kubadirisha matumizi ili ziliwe tusubiri mwisho wa uchunguzi tuone nani ni mkweli au atakayeibuka shujaa
Usilolijua litakusumbua sana, kinachotafutwa kwa wabunge ni ushahidi wa makato ya pesa tu.Watajuaje matumizi ya pesa? Matumizi anayajua Katibu mkuu na mhasibu mkuu. Wao wana changa tuu.. Naona kama TAKUKURU ina wasumbua hawa wabunge na kuwapotezea muda.. Kama CAG hakuona matumizi mabaya ya hizo Pesa TAKUKURU wana kwenda kuziona kwa kuhoji watu au kufanya ukaguzi? Je TAKUKURU itakwenda kurekebisha katiba ya CHADEMA?
Chadema imetafuta kifo msajili akifute tu maana haiwezekani kuwa chama cha kupiga pesa za watendaji wakeHiyo ipo kikatiba we kilaza!
... matumizi yake ni suala la maamuzi ya kamati kuu!
Mbona unazidi kuwa kumbaf...?!
Waulize waliolalamika sio sisi kwani ccm ndio tuliwatuma walalamike kama mkataba uliegemea upande wa wezi unataka nini ukiwa chadema na akili inakufa aiseeKama ingekuwa ni account maalumu ya wabunge basi hiyo michango angekabidhiwa David Silinde na siyo Dr Mashinji
Mkataba unaweza kuingiwa kwa njia ya mdomo au maandishi haitajiki mwanasheria kulijua hili!
Tumia kichwa kujadili kilaza wa bavicha wewe TAKUKURU wanafanya uchunguzi mahali popote ambapo kuna malalamiko ya kuwapo kwa rushwa ktk taasisi yoyote hata kama ni binafsi na hapa chadema wamelalamika wenyewe ulitakajeNa ruzuku ndio mali ya umma siyo michango.
Hili hata Wakili Msando analielewa vizuri!
Unafundisha chizi unajipa kazi hawaelewagi bavicha hawa .analeta uzi kutetea wizi wa pesa za watuCAG aliyepita aliwahi kutoa hati safi katika ubarozi wa tz lakini wakarudi aikaonekana kuna matumizi mabaya huko wakamuita barozi na kumua ubarozi
ina maana watu huwa hawaelewi au hawasikilizi....!!!????Mkuu umeeleza vzr. Somo limeeleweka. Katiba yao kama inasema hivyo pccb hawana lao labda wakamate KATIBA waiweke mahabusu kisha kisutu. Akili ya kushikiliwa
Kwani nyie ndio mlimpitisha unataka kusema unamwamini magufuli sasa kwa nini mnalia lia kila sikuWeka wazi wewe unamuamini nani?? Lijuakali na kundi lake akiwemo Spika unafiki wao uko wazi malengo yao yako wazi. Walilenga kumchafua na kumdhalilisha Mh Mbowe na siyo eti wana uchungu na fedha za Chadema.
Katiba ya chama iko wazi sera za chama ziko wazi. Kwanini wanaolalamika iwe sasa?? Kama siyo Chadema asingejulikana leo.
Na wote wanaobeza Chadema wajiulize kama siyo uimara na umakini wa Chadema Mh Makufuli angepitishwa na ccm kuwa mgombea wake 2015?? Waaoshindwa kulitambua hilo basi hawana tofauti na Lijuakali.
Chadema imetafuta kifo msajili akifute tu maana haiwezekani kuwa chama cha kupiga pesa za watendaji wake
Binafsi nimekataa kucheza ngoma ya Lijualikali.Waulize waliolalamika sio sisi kwani ccm ndio tuliwatuma walalamike kama mkataba uliegemea upande wa wezi unataka nini ukiwa chadema na akili inakufa aisee
Kuna watu wanavichwa vigumu ishu sio kukubaliana kuchanga ishu ni matumizi baada ya kuchanga hizo pesa mumemjibu vema sana maana hawanaga akiliina maana watu huwa hawaelewi au hawasikilizi....!!!????
Shida haiko kwenye uhalali wa kuchanga..
wanadai fedha ile ilikuwa na makubaliano maalum..
Kwamba wanachanga ili kutunisha mfuko wa kugharamia Kampeni
KWA NINI MFUKO WA KAMPENI
Chaguzi zote nne ,2000, 2005,2010,2015 Chama kimekuwa kikifadhiliwa/kinakopeswa na Mbowe. Inadaiwa 2015 alikikopesha chama tsh. 2Blns japokuwa hakukuwa na nyaraka zozote hivyo mpaka leo analipwa 50mlns kila mwezi na kampuni ya mkewe(Shemeji yake) inalipwa 60Mlns kwa mwezi kwamba iliandaa mabango ya kampeni.
ktk Mazingira hayo wakaona hawana uwezo wa kutunza hela kwa kampeni ya 2020. wakakubaliana Michango ya Wabunge ifunguliwe Akaunti Maalum, zitunzwe zije kutumika 2020. Sasa kuna tetesi kuwa zimepigwa.
Cag anakagua pesa za serikaliMsomi CAG angesema kwenye taarifa take.
Nyie ndio leo Mrisho Gambo amewapa za uso kwamba mkizeeka mtakuwa wachawi.Tumia kichwa kujadili kilaza wa bavicha wewe TAKUKURU wanafanya uchunguzi mahali popote ambapo kuna malalamiko ya kuwapo kwa rushwa ktk taasisi yoyote hata kama ni binafsi na hapa chadema wamelalamika wenyewe ulitakaje
AaaaaiiiiseeeeLijua likali ni kijana hatari sana kwa mabadikiko katika Taifa. Kama ameweza kuwasema vibaya hivyo Chadema, chama kilicho pigania ubunge wake mahakamani kwa gharama, chama kilicho msimamia wakati akiwa gerezani hadi kikamtoa, na mambo mengi mengi.
Mwisho fadhila anazo zitoa kwa Chadema ni kuwatukana na kusema mambo yasiyo na msingi juu ya chama. Je siku aki wachoka Ccm ataicha salama? Maana mdomo wa kupayuka hata uujaze mkate utasema tuu.
Lakini Mungu akitaka agano lake litimie hutumia njia nyingi sana angalia hata wakati wa ukombozi wa wana wa Israel alimtumia Musa kuwaokoa. Toka Misri. Hata sasa hawa waropokaji wana tumwa Ccm ili andiko litimie siku Chadema itakapo inuliwa upatikane ushahidi wa matendo maovu yafanywayo na Ccm.
Akumulikiae mchana usiku hukuchoma.. Ccm waangalieni hawa wachawi mnao wapigia makofi leo na kuwapa air time. Muda ni wakati mzuri sana.
Mungu wangu! AaaaaiiiiiseeeeeNyie ndio leo Mrisho Gambo amewapa za uso kwamba mkizeeka mtakuwa wachawi.
Lijualikali alikuwa wapi siku hsdi aelemewe na mkopo ndio aombe hisani CCM.
Huyu Lijualikali amekiri hadharani kwamba aliiba kura za Aboubakar Assenga wa CCM na Lowassa akaiba pia za urais.... Ndio nyie UVCCM mnamfagilia?!
Gambo yuko sahihi UVCCM hampendani mmejaa unafiki mtupu!
Ni kweli kabisa...uko sahihi...ila kwa upande mwingine nadhani suala linaweza kuwa siyo Kama makato hayo yapo kwenye katiba...issue inaweza kuwa how the money was spent, na Kama taratibu zilifuatwa kwa maana ya uthibitisho wa matumizi yaliyofanyikaMkuu umeeleza vzr. Somo limeeleweka. Katiba yao kama inasema hivyo pccb hawana lao labda wakamate KATIBA waiweke mahabusu kisha kisutu. Akili ya kushikiliwa
Kwakuwa wewe sio mwanaccm tulia tukusaidieBinafsi nimekataa kucheza ngoma ya Lijualikali.
CCM ina watu wenye akili siasa za akina Lijualikali hazina afya kwenye chama kikubwa kilichosheheni wasomi......wanao mkumbatia waendelee naye!