Nimewasikiliza wabunge wa CHADEMA waliohojiwa na PCCB, yawezekana Lijualikali ni mwongo wa "Kutupwa"

Nimewasikiliza wabunge wa CHADEMA waliohojiwa na PCCB, yawezekana Lijualikali ni mwongo wa "Kutupwa"

Sijui huelewi Nini? Kwa akili yako unaona kubadilisha matumizi siyo kula hela? Unaona ni sawa fedha za kusaidia wagombea kwenye kampeni zikabadilishwa matumizi na zikatumika na mwenyekiti kunywea pombe na kuhudumia nyumba zake ndogo huko siyo kula hela? Ataeleza Sasa alizitumiaje 8.9 billion.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kula hela na kubadilisha matumizi ni tofauti,Kwa mfano MTU ana tsh million 20 amepanga kununua gari baadae akbadili mawazo nakuamua kujenga nyumba.Hugo utsema amekula hela au amebadili matumizi?!
 
Watajuaje matumizi ya pesa? Matumizi anayajua Katibu mkuu na mhasibu mkuu. Wao wana changa tuu.. Naona kama TAKUKURU ina wasumbua hawa wabunge na kuwapotezea muda.. Kama CAG hakuona matumizi mabaya ya hizo Pesa TAKUKURU wana kwenda kuziona kwa kuhoji watu au kufanya ukaguzi? Je TAKUKURU itakwenda kurekebisha katiba ya CHADEMA?
Usilolijua litakusumbua sana, kinachotafutwa kwa wabunge ni ushahidi wa makato ya pesa tu.

Jinai itatafutwa kwenye Documents za chama.

CAG huwa hatafuti jinai,TAKUKURU inatafuta jinai.

Mfano hizo 8.2 bilioni, je ziltumikaje.....then kila piece ya paper inaombwa na computer zinapitiwa then pwaaa!

Wewe unadhani kwa nini mwamba anapiga Faru john kwa nguvu kama sio hii stress!
 
Hiyo ipo kikatiba we kilaza!
... matumizi yake ni suala la maamuzi ya kamati kuu!
Mbona unazidi kuwa kumbaf...?!
Chadema imetafuta kifo msajili akifute tu maana haiwezekani kuwa chama cha kupiga pesa za watendaji wake
 
Kama ingekuwa ni account maalumu ya wabunge basi hiyo michango angekabidhiwa David Silinde na siyo Dr Mashinji

Mkataba unaweza kuingiwa kwa njia ya mdomo au maandishi haitajiki mwanasheria kulijua hili!
Waulize waliolalamika sio sisi kwani ccm ndio tuliwatuma walalamike kama mkataba uliegemea upande wa wezi unataka nini ukiwa chadema na akili inakufa aisee
 
Na ruzuku ndio mali ya umma siyo michango.

Hili hata Wakili Msando analielewa vizuri!
Tumia kichwa kujadili kilaza wa bavicha wewe TAKUKURU wanafanya uchunguzi mahali popote ambapo kuna malalamiko ya kuwapo kwa rushwa ktk taasisi yoyote hata kama ni binafsi na hapa chadema wamelalamika wenyewe ulitakaje
 
CAG aliyepita aliwahi kutoa hati safi katika ubarozi wa tz lakini wakarudi aikaonekana kuna matumizi mabaya huko wakamuita barozi na kumua ubarozi
Unafundisha chizi unajipa kazi hawaelewagi bavicha hawa .analeta uzi kutetea wizi wa pesa za watu
 
Mkuu umeeleza vzr. Somo limeeleweka. Katiba yao kama inasema hivyo pccb hawana lao labda wakamate KATIBA waiweke mahabusu kisha kisutu. Akili ya kushikiliwa
ina maana watu huwa hawaelewi au hawasikilizi....!!!????
Shida haiko kwenye uhalali wa kuchanga..
wanadai fedha ile ilikuwa na makubaliano maalum..
Kwamba wanachanga ili kutunisha mfuko wa kugharamia Kampeni

KWA NINI MFUKO WA KAMPENI
Chaguzi zote nne ,2000, 2005,2010,2015 Chama kimekuwa kikifadhiliwa/kinakopeswa na Mbowe. Inadaiwa 2015 alikikopesha chama tsh. 2Blns japokuwa hakukuwa na nyaraka zozote hivyo mpaka leo analipwa 50mlns kila mwezi na kampuni ya mkewe(Shemeji yake) inalipwa 60Mlns kwa mwezi kwamba iliandaa mabango ya kampeni.
ktk Mazingira hayo wakaona hawana uwezo wa kutunza hela kwa kampeni ya 2020. wakakubaliana Michango ya Wabunge ifunguliwe Akaunti Maalum, zitunzwe zije kutumika 2020. Sasa kuna tetesi kuwa zimepigwa.
 
Weka wazi wewe unamuamini nani?? Lijuakali na kundi lake akiwemo Spika unafiki wao uko wazi malengo yao yako wazi. Walilenga kumchafua na kumdhalilisha Mh Mbowe na siyo eti wana uchungu na fedha za Chadema.

Katiba ya chama iko wazi sera za chama ziko wazi. Kwanini wanaolalamika iwe sasa?? Kama siyo Chadema asingejulikana leo.

Na wote wanaobeza Chadema wajiulize kama siyo uimara na umakini wa Chadema Mh Makufuli angepitishwa na ccm kuwa mgombea wake 2015?? Waaoshindwa kulitambua hilo basi hawana tofauti na Lijuakali.
Kwani nyie ndio mlimpitisha unataka kusema unamwamini magufuli sasa kwa nini mnalia lia kila siku
 
Chadema imetafuta kifo msajili akifute tu maana haiwezekani kuwa chama cha kupiga pesa za watendaji wake

Afute tu, upinzani upo kwenye mioyo!
Wakati huu maccm mnaona raha, ila muda ukifika mtakufa kifo cha ajabu na kila raia atajua cha kufanya!
Pierre N. alijiona mwamba, sasa yupo wapi? Uliona mtiti wa raia? Hadi serikali ikalazimisha raia wahuzunike...
 
Waulize waliolalamika sio sisi kwani ccm ndio tuliwatuma walalamike kama mkataba uliegemea upande wa wezi unataka nini ukiwa chadema na akili inakufa aisee
Binafsi nimekataa kucheza ngoma ya Lijualikali.

CCM ina watu wenye akili siasa za akina Lijualikali hazina afya kwenye chama kikubwa kilichosheheni wasomi......wanao mkumbatia waendelee naye!
 
ina maana watu huwa hawaelewi au hawasikilizi....!!!????
Shida haiko kwenye uhalali wa kuchanga..
wanadai fedha ile ilikuwa na makubaliano maalum..
Kwamba wanachanga ili kutunisha mfuko wa kugharamia Kampeni

KWA NINI MFUKO WA KAMPENI
Chaguzi zote nne ,2000, 2005,2010,2015 Chama kimekuwa kikifadhiliwa/kinakopeswa na Mbowe. Inadaiwa 2015 alikikopesha chama tsh. 2Blns japokuwa hakukuwa na nyaraka zozote hivyo mpaka leo analipwa 50mlns kila mwezi na kampuni ya mkewe(Shemeji yake) inalipwa 60Mlns kwa mwezi kwamba iliandaa mabango ya kampeni.
ktk Mazingira hayo wakaona hawana uwezo wa kutunza hela kwa kampeni ya 2020. wakakubaliana Michango ya Wabunge ifunguliwe Akaunti Maalum, zitunzwe zije kutumika 2020. Sasa kuna tetesi kuwa zimepigwa.
Kuna watu wanavichwa vigumu ishu sio kukubaliana kuchanga ishu ni matumizi baada ya kuchanga hizo pesa mumemjibu vema sana maana hawanaga akili
 
Tumia kichwa kujadili kilaza wa bavicha wewe TAKUKURU wanafanya uchunguzi mahali popote ambapo kuna malalamiko ya kuwapo kwa rushwa ktk taasisi yoyote hata kama ni binafsi na hapa chadema wamelalamika wenyewe ulitakaje
Nyie ndio leo Mrisho Gambo amewapa za uso kwamba mkizeeka mtakuwa wachawi.

Lijualikali alikuwa wapi siku hsdi aelemewe na mkopo ndio aombe hisani CCM.

Huyu Lijualikali amekiri hadharani kwamba aliiba kura za Aboubakar Assenga wa CCM na Lowassa akaiba pia za urais.... Ndio nyie UVCCM mnamfagilia?!

Gambo yuko sahihi UVCCM hampendani mmejaa unafiki mtupu!
 
Lijua likali ni kijana hatari sana kwa mabadikiko katika Taifa. Kama ameweza kuwasema vibaya hivyo Chadema, chama kilicho pigania ubunge wake mahakamani kwa gharama, chama kilicho msimamia wakati akiwa gerezani hadi kikamtoa, na mambo mengi mengi.

Mwisho fadhila anazo zitoa kwa Chadema ni kuwatukana na kusema mambo yasiyo na msingi juu ya chama. Je siku aki wachoka Ccm ataicha salama? Maana mdomo wa kupayuka hata uujaze mkate utasema tuu.

Lakini Mungu akitaka agano lake litimie hutumia njia nyingi sana angalia hata wakati wa ukombozi wa wana wa Israel alimtumia Musa kuwaokoa. Toka Misri. Hata sasa hawa waropokaji wana tumwa Ccm ili andiko litimie siku Chadema itakapo inuliwa upatikane ushahidi wa matendo maovu yafanywayo na Ccm.
Akumulikiae mchana usiku hukuchoma.. Ccm waangalieni hawa wachawi mnao wapigia makofi leo na kuwapa air time. Muda ni wakati mzuri sana.
Aaaaaiiiiseeee
 
Nyie ndio leo Mrisho Gambo amewapa za uso kwamba mkizeeka mtakuwa wachawi.

Lijualikali alikuwa wapi siku hsdi aelemewe na mkopo ndio aombe hisani CCM.

Huyu Lijualikali amekiri hadharani kwamba aliiba kura za Aboubakar Assenga wa CCM na Lowassa akaiba pia za urais.... Ndio nyie UVCCM mnamfagilia?!

Gambo yuko sahihi UVCCM hampendani mmejaa unafiki mtupu!
Mungu wangu! Aaaaaiiiiiseeeee
 
Mkuu umeeleza vzr. Somo limeeleweka. Katiba yao kama inasema hivyo pccb hawana lao labda wakamate KATIBA waiweke mahabusu kisha kisutu. Akili ya kushikiliwa
Ni kweli kabisa...uko sahihi...ila kwa upande mwingine nadhani suala linaweza kuwa siyo Kama makato hayo yapo kwenye katiba...issue inaweza kuwa how the money was spent, na Kama taratibu zilifuatwa kwa maana ya uthibitisho wa matumizi yaliyofanyika
 
Binafsi nimekataa kucheza ngoma ya Lijualikali.

CCM ina watu wenye akili siasa za akina Lijualikali hazina afya kwenye chama kikubwa kilichosheheni wasomi......wanao mkumbatia waendelee naye!
Kwakuwa wewe sio mwanaccm tulia tukusaidie

Ishu sio uhalali wa kukubaliana na mikataba ya kuchanga oshi ni matumizi ya hizo pesa ambazo hwakuziweka kwenye majedwali ya vyanzo vyao vya pesa kutoka ndani na kutoka nje ya nchi.

Wabunge wamerise ishu ya matumizi mabaya ya michango yao sio uhalali wao wa kuchanga ndio maana walichanga

Kwenye majedwali walipeleka kwa CAG hii michango haimo na matumizi yake hajaaanishwa wala kielezwa kwenye kamati kuu,kamati ndogo au baraza la wadhamini

Kazi ya TAKUKURU sio uahalali wa michango ni tuhuma za kuliwa michango ya wanachama wakiwemo wabunge kiasi cha billion 8.9 ambazo wabunge wamelalamika kutokujua matumizi yake.

Mashtaka yakipelekwa TAKUKURU yatafanyiwa uchunguzi tu na kama itaonekana hakuna kosa ikweli utajulikaa

Wewe unakichwa kidogo sana na uwezo mdogo sana wa kupambanua jinai endelea na tu posts twako twa kizwazwa hapa

Mwambie huyo mlevi arejeshe pesa za watu
 
Back
Top Bottom