Kwani hiyo government ni kwa ajili ya nani?mawazo ya kifala kabisa, unatak raia waishi in Anarchy?People usually hate governments...
Governments dont have money of their own,wananchi ndio wana hela..
Tengeneza solution kusaidia wananchi na sio governments..
Wacha kuzisaidia governments to do their job ....
Saidia wananchi....
Wacha serikali zitoke jasho kusimamia wananchi,wananchi need freedom,government is always working hard to take those freedoms,let the government work on its own...
Saidia wananchi,they will pay you,governments do not pay anybody anything
Kwa jinsi sipendi governments,ningejenga solution kusaidia wananchi wawe free zaidi na magari yao,leseni ni kazi ya serikali na iteseke kufanya yenyewe.
Wewe ukitoahii solution mimi nitatoa ya ku-bypass your solution hawa wanadamu wenzangu wawe free kuishi maisha yao bila kufatwa fatwa matakoni
Kusaidia mwananchi ndio uzalendo hasa
Ipo siku Mungu atakufungulia milango ya baraka na utapata gari lako...mkuu magari yenyewe hatuna
Ndio uwezo wetu watanzania ulipofikia. Tunajikuna mkono unapofika...yaliyopo ni hayo machakavu ya japan ya 2004
Unaona sasa?Kwani hiyo government ni kwa ajili ya nani?mawazo ya kifala kabisa, unatak raia waishi in Anarchy?
Hii pia nzuri.Advance/finger print switch.
Akuna kinachoshindikana chini ya jua.Hii pia nzuri.
Ila niliwahi kusikia kuna watu vidole vyao havina prints.
Sasa sijui ni kweli.
Kodi ni kubwa ndio maana tunajikita na machakavu na aina moja suti...Ndio uwezo wetu watanzania ulipofikia. Tunajikuna mkono unapofika...
Hakika ni kubwa...Kodi ni kubwa
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini kusiwe na mfumo ambao utawezesha, licha ya kwamba engine imewashwa kwa funguo, lakini bado gari itagoma kuwaka mpaka utakapochomeka pia leseni yako ya udereva?
Yaaani kunakuwa na direct contact baina ya servers za TRA, Police Traffic pamoja na ignition system ya gari.
(1) Faida yake ya kwanza ni kwamba, hakuna mtu atakayeweza kuendesha gari kama hana leseni (Leseni inakuwa na smartchip kama ya ATM Card)
(2) Faida ya pili ni kwamba, ata ikitokea kuwa gari imeibwa ni rahisi kujua ni leseni ya dereva yupi inatumika kuendesha gari hiyo. Pia Mamlaka husika wanaweza kulizima hilo gari mara moja.
WATAALAM WA ICT, COMPUTER NETWORKING PAMOJA NA MECHANICAL/AUTOMOBILE ENGINEERING msipite bila kusema chochote please.
I STAND TO BE CORRECTED.....!!!!!
Nimelisajili hili wazo langu la kijinga kijinga...!!!!!
NB: TTCL nitawapa wazo kubwa sana la biashara ambalo halipo katika mitandao mingine ya simu za mikononi/kiganjani.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sawa boss...Wazo la kijinga sana hili.