Nimewaza Ujinga: Kwanini magari yasigome kuwaka mpaka dereva atakapochomeka leseni yake na funguo kwa pamoja?

Nimewaza Ujinga: Kwanini magari yasigome kuwaka mpaka dereva atakapochomeka leseni yake na funguo kwa pamoja?

Wazo zuri, endelea kuliboresha tutafika huko tuu, kwenye shida ya network unaweza ukafanya labda leseni inakuwa ina ji scan mara 2 au 3 kwa siku na mwisho wa siku inatuma report ya leseni zilizotumika kwenye gari hiyo, na inapotokea kubadilishwa kwa dereva na leseni basi gari hilo linabidi liwe kwenye maeneo yenye network
 
People usually hate governments...

Governments dont have money of their own,wananchi ndio wana hela..

Tengeneza solution kusaidia wananchi na sio governments..

Wacha kuzisaidia governments to do their job ....

Saidia wananchi....

Wacha serikali zitoke jasho kusimamia wananchi,wananchi need freedom,government is always working hard to take those freedoms,let the government work on its own...

Saidia wananchi,they will pay you,governments do not pay anybody anything

Kwa jinsi sipendi governments,ningejenga solution kusaidia wananchi wawe free zaidi na magari yao,leseni ni kazi ya serikali na iteseke kufanya yenyewe.

Wewe ukitoahii solution mimi nitatoa ya ku-bypass your solution hawa wanadamu wenzangu wawe free kuishi maisha yao bila kufatwa fatwa matakoni

Kusaidia mwananchi ndio uzalendo hasa
Kwani hiyo government ni kwa ajili ya nani?mawazo ya kifala kabisa, unatak raia waishi in Anarchy?
 
mkuu magari yenyewe hatuna na yaliyopo ni hayo machakavu ya japan ya 2004 harafu yawekewe visingiti tena...
 
Kwani hiyo government ni kwa ajili ya nani?mawazo ya kifala kabisa, unatak raia waishi in Anarchy?
Unaona sasa?

Eti government ipo kwa ajili ya nani,as if government ni kwa ajili ya yeyote zaidi ya rulling class kwanza then mnafata nyie maiti...

Get that in your head..

Nani kakwambia nataka anarchy?Anarchy ni total absence of government....Nimesema nataka such a thing?Legitimate roles of government ni kutulinda against inside and outside thugs,kutoa haki through mahakama na use little money we gave it for projects on public good,ONLY!

My belief ni limited government powers.Govts have too much powers mpaka zinakua corrosive na kuonea wananchi,which most of the time they do.

Leseni ni kazi ya serikali,na leseni ni instrument of control of innocent people,which is inherently evil,of which hoja yangu ni kua ifanye hiyo kazi yenyewe bila kusaidiwa na mtu usaidizi wa ku-control people for its own benefits!

Government ina control people for its own selfish benefits na sio for the good of stupid people like me and you!

My thinking is radical yes,you will never understand it sababu wewe una believe into what stupid people in the government tell you what to do,we are totally cut from different cloths,of which is okay,I stick to my guns and stick to yours!
 
ki Concept tu, ni idea nzuri ila kiuhalisia sio idea nzuri kutumia networks ku authorize engine kuwaka. Hackers wataleta matatizo zaidi kuliko hii solution.
 
Kama miaka mitano tu Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?
 
Chadema Siasa za kihuni zimepitwa na muda ombeni msamaha kwa Rais Magufuli.
 
Wazo la kijinga sana hili.

Matumizi mabaya ya akili na kuleta usumbufu tu duniani.Ulazima huo ni kwa ajili gani?
Unataka udhibiti nini?
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania eti;

Kwanini kusiwe na mfumo ambao utawezesha, licha ya kwamba engine imewashwa kwa funguo, lakini bado gari itagoma kuwaka mpaka utakapochomeka pia leseni yako ya udereva?

Yaaani kunakuwa na direct contact baina ya servers za TRA, Police Traffic pamoja na ignition system ya gari.

(1) Faida yake ya kwanza ni kwamba, hakuna mtu atakayeweza kuendesha gari kama hana leseni (Leseni inakuwa na smartchip kama ya ATM Card)

(2) Faida ya pili ni kwamba, ata ikitokea kuwa gari imeibwa ni rahisi kujua ni leseni ya dereva yupi inatumika kuendesha gari hiyo. Pia Mamlaka husika wanaweza kulizima hilo gari mara moja.

WATAALAM WA ICT, COMPUTER NETWORKING PAMOJA NA MECHANICAL/AUTOMOBILE ENGINEERING msipite bila kusema chochote please.

I STAND TO BE CORRECTED.....!!!!!

Nimelisajili hili wazo langu la kijinga kijinga...!!!!!

NB: TTCL nitawapa wazo kubwa sana la biashara ambalo halipo katika mitandao mingine ya simu za mikononi/kiganjani.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Back
Top Bottom