People usually hate governments...
Governments dont have money of their own,wananchi ndio wana hela..
Tengeneza solution kusaidia wananchi na sio governments..
Wacha kuzisaidia governments to do their job ....
Saidia wananchi....
Wacha serikali zitoke jasho kusimamia wananchi,wananchi need freedom,government is always working hard to take those freedoms,let the government work on its own...
Saidia wananchi,they will pay you,governments do not pay anybody anything
Kwa jinsi sipendi governments,ningejenga solution kusaidia wananchi wawe free zaidi na magari yao,leseni ni kazi ya serikali na iteseke kufanya yenyewe.
Wewe ukitoahii solution mimi nitatoa ya ku-bypass your solution hawa wanadamu wenzangu wawe free kuishi maisha yao bila kufatwa fatwa matakoni
Kusaidia mwananchi ndio uzalendo hasa