Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #61
Ndio...Yaani wewe kwavile uliambiwa tangu la kwanza penda serikali basi unaipenda kweli mpaka umekua mtu mzima unaipenda kweli kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio...Yaani wewe kwavile uliambiwa tangu la kwanza penda serikali basi unaipenda kweli mpaka umekua mtu mzima unaipenda kweli kweli?
Sawa. Kila la heri na wewe pia.Haya bana kila la heri
Ni kivumishi tu mzee....Mimi mbona sio genius? Mimi mbona ni mtu wa kawaida sana. Ni nani alikwambia kuwa mimi ni genius?...
Nina mamilioni ya ideas katika kichwa changu mkuu.Idea hii ungeipeleka Ulaya au ukawasiliana na bright Ideas [emoji362] huenda ukafanikiwa kama idea haijafanyiwa kazi bado duniani
Wazo zuri sana
Sawa mzee...Ni kivumishi tu mzee....
Execute..thats the bottom line..Nina mamilioni ya ideas katika kichwa changu mkuu.
Okay mzee.Pay no mind
Mimi kama mdau mkubwa upande wa automobile engineering, hii kitu anachotaka kiwe, inawezekana kama wahandisi watarudi kwenye drawing table. Madhala yake yatakuwa mengi hasa upande wa bei. Itakuwa hayanunuliki magari yenye 'state of the art' ya system hiyo na hata huyo mwenye uwezo akiwa nalo akienda sehemu ambayo ni 'utoporoni' mtandao ni wa kusuasua utashindwa kuwasha gari lako.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini kusiwe na mfumo ambao utawezesha, licha ya kwamba engine imewashwa kwa funguo, lakini bado gari itagoma kuwaka mpaka utakapochomeka pia leseni yako ya udereva?
Yaaani kunakuwa na direct contact baina ya servers za TRA, Police Traffic pamoja na ignition system ya gari.
(1) Faida yake ya kwanza ni kwamba, hakuna mtu atakayeweza kuendesha gari kama hana leseni (Leseni inakuwa na smartchip kama ya ATM Card)
(2) Faida ya pili ni kwamba, ata ikitokea kuwa gari imeibwa ni rahisi kujua ni leseni ya dereva yupi inatumika kuendesha gari hiyo.
WATAALAM WA ICT, COMPUTER NETWORKING PAMOJA NA MECHANICAL/AUTOMOBILE ENGINEERING msipite bila kusema chochote please.
I STAND TO BE CORRECTED.....!!!!!
Nimelisajili hili wazo langu la kijinga kijinga...!!!!!
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sawa mkuu...Execute..thats the bottom line..
Hakika mkuu. Serikali hii imenisaidia sana ila siwezi kuandika humu JF...Ila unasaidia serikali aisee tuna values tofauti kabisa...
Sawa mkuu.Ila its okay,wewe fanya unachokiamini!
Sawa kabisa mkuu...Mimi kama mdau mkubwa upande wa automobile engineering, hii kitu anachotaka kiwe, inawezekana kama wahandisi watarudi kwenye drawing table.
Sawa chief...Madhala yake yatakuwa mengi hasa wa bei.
Leseni hizi zinazouzwa kama njugu na vishoka?Sheria inakataza mtu asiye na leseni ya udereva kuendesha gari "no matter what"...
Vipi kama babako kupatwa na stroke daraja la 1 au 2 wewe mwanae kwa utundu wako unaweza kuendesha gari na kunusuru maisha ya babako, utaacha kuvunja Sheria hiyo au.....?Sheria inakataza mtu asiye na leseni ya udereva kuendesha gari "no matter what"...
Sheria ya nchi inakataza mtu asiye na leseni ya udereva kuendesha gari. Zingatia sana hilo.Leseni hizi zinazouzwa kama njugu na vishoka?
Ninarudia tena. Sheria ya nchi inakataza mtu asiye na leseni ya udereva kuendesha gari. Zingatia sana hilo.Vipi kama babako kupatwa na stroke daraja la 1 au 2 wewe mwanae kwa utundu wako unaweza kuendesha gari na kunusuru maisha ya babako, utaacha kuvunja Sheria hiyo au.....?
Sawa mkuu...ni kama wazo la kijinga lakini lina mantiki sana.