Nimeweka 3M UTT lakin imeongezeka 360 Nimeshtuka?? watalaam mje mnifafanulie

Kuna Jamaa Aliweka Cash UTT Hata Masaa 48~78 Hajafika Kwa Siku 3 Za Kazi Ili Vipande Vinunuliwe Yeye Akaenda Kutoa Pesa Yake
Anasema Nina Shida, Hapo Changamoto
 
Kuwa mvumilivu ndiyo kwanza umejiunga, hesabu zitaanza kwenda sawa. Hapo huwezi pata 1000 kwa siku itakuwa 833 hivi, Mimi nimeweka na hawa watu wapo vizuri kwenye kuongeza faida zako. Siku za wikendi hawafanyi kazi kwahiyo kama ijumaa haukuwekewa faida zako za siku hiyo basi watakuwekea faida zako wiki inayofuata pamoja na siku zote za weekend. Subiri Kuna siku utakuta fedha nyingi imeongezeka ukipiga hesabu utagundua Kuna siku hukuwekewa kwa wakati. Ila huwezi ibiwa .
wakuu mimi niko Liquid fund .Haya ndo niliyoyaona nimeweka 3M nina wiki na imeongezeka 360 ndo nn yaan mbona haiendani na % nazo calculate
 
Nimekupenda bure mkuu😋
kifupi nice to meet your brain.
Imenitoa uvundo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…