Nimeweka record leo mlima kitonga.

Nimeweka record leo mlima kitonga.

Asante mkuu nilifika salama.safar ya dar ni kurud nyumban kutoka kutafuta ugal mkoan mkuu..bt kukimbia road ndo mchezo wang yan..ndo mana napenda kusafir usiku

Kaka mimi nimekimbia sana maisha yangu before 40, not worth it, kuwa makini ndugu yangu
 
Usinikumbushe hapo nilipata ajali nilikuwa natelemka kwa speed breki ikakata ikabidi gari niibamize kulia ilianza kwenda speed ya ajabu..!! Nakushauri usirudie tena.... Unatakiwa kutelemla na gia nzito 2 acha kabisa!!
Polee mkuu..ni kwel mkuu breki huwa zinafeli lkn ukifikiria yote hyo huemdesh gar..so yakitokea mkuu ni mung kapanga..so mkuu umeacha kuendesha gar kwa speed
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kwa gar mkuu..sema njia nina uzoefu nayo sana sabb mwaka km wanne iv napita lkn cjawaj shuka kwa dkk hiz ..mana mara nying huwa malor huchelewesha lkn leo naanza mpk namaliza cjapishana na gar..

Kwa kuwa umeizoea hiyo njia dk 9 c ni nyingi sana mpaka zilete mahangao. Ila hongera sana next time ongeza speed utumie dk 6 au dk 7 the urudi jamvini kutuhabarisha.[emoji1322]
 
Back
Top Bottom