Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, umefika huko ulipokuwa unawahi?Kuwa speed sio kusababisha ajal,.ajal inatokana na uzembe au kutokuwa makin so hata ukiwa speed ndogo unaweza pata ajal ivo ivo..
Asante mkuu nilifika salama.safar ya dar ni kurud nyumban kutoka kutafuta ugal mkoan mkuu..bt kukimbia road ndo mchezo wang yan..ndo mana napenda kusafir usiku
Ila uwe makin mkuu[emoji1] [emoji1] sio ukwel mkuu..nikawaida.yng kutembea speed.
Sawa Sawa mkuuKifo tumeumbiwa mkuu ..kwaiyo usiogope kufa
Haina Ushawishi wowoteKwann mkuu
Mkuu ni uzoefu wa vyombo vya moto na pia uzoefu wa njia so unaelewa kbsa hapa nashuka kunakona kal hpa mteremko mdogo so uzoefu tu wa njia na uhun wa madereva wenzio njian ..Ebu fafanua hiyo michezo, na sisi tupate ujasiri wakushuka huo mlima kwa speed hiyo!
Polee mkuu..ni kwel mkuu breki huwa zinafeli lkn ukifikiria yote hyo huemdesh gar..so yakitokea mkuu ni mung kapanga..so mkuu umeacha kuendesha gar kwa speedUsinikumbushe hapo nilipata ajali nilikuwa natelemka kwa speed breki ikakata ikabidi gari niibamize kulia ilianza kwenda speed ya ajabu..!! Nakushauri usirudie tena.... Unatakiwa kutelemla na gia nzito 2 acha kabisa!!
Kwa gar mkuu..sema njia nina uzoefu nayo sana sabb mwaka km wanne iv napita lkn cjawaj shuka kwa dkk hiz ..mana mara nying huwa malor huchelewesha lkn leo naanza mpk namaliza cjapishana na gar..