Nimeyakanyaga kwa mke wa mtu

Nimeyakanyaga kwa mke wa mtu

gwego1

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2023
Posts
265
Reaction score
897
Wakuu habari.

Wiki mbili nyuma katika pita pita zangu nilifanikiwa kukutana na mrembo wa kinyarwanda ambaye ni alikuwa jirani yangu zamani kidogo na pia ni mke wa mtu. Ambaye tulipiga story mbili tatu na mwishowe tukabadilishana namba!.

Badae kilichofatia tukakubaliana tuonane na tukakulana tena peku baada ya hapo mzigo ukaanza kutema USAA nikasema sio issue nikakimbilia kununua AZUMA zikadunda nikasema usinitanie nikanunua Cipro+Dox+Metro nikapiga lakini mzigo unatema tu! Nikaona kifo hichi hapa mtu nakufa kwa UTI.

Nikaamua nimtafute expert ndio akanielekeza dawa nyingne inaitwa Amoxclavu angalau Mwanga nauona maana mzigo sasa hivi unatema maji maji! Ashukuriwe mkemia aliyegundua Amoxclavu.

Hapa najiuliza Mme wake anakulaje mzigo na hapati hizi dhahama au hawakulani!.
 
Malaya hawa hawajui wanapata wapi magonjwa, yanakula kila Mwanamke bila kinga.
 
Watanzania tunajijengea tabia ya hovyo na mbaya sana.

Achilia mbali chofya chofya kwa wake na watu tusiojua hali yao kiafya, lakini matumizi ya hovyo za dawa bila ushauri wa wataalam.

Mtu anaamka, ana dalili fulani anakimbilia kununua dawa pasipo hata kumconsult mganga. Hii ni mbaya sana na madhara yake ni makubwa mno.

Hima Watanzania wenzangu, ukiumwa tafadhali fika kituo cha afya. Onana na tabibu, mueleze ukweli. Kisha akuandikie dawa. Tuepuke sana matumizi holela za dawa.
 
Back
Top Bottom