Nimeyakanyaga kwa mke wa mtu

Nimeyakanyaga kwa mke wa mtu

Watanzania tunajijengea tabia ya hovyo na mbaya sana.

Achilia mbali chofya chofya kwa wake na watu tusiojua hali yao kiafya, lakini matumizi ya hovyo za dawa bila ushauri wa wataalam.

Mtu anaamka, ana dalili fulani anakimbilia kununua dawa pasipo hata kumconsult mganga. Hii ni mbaya sana na madhara yake ni makubwa mno.

Hima Watanzania wenzangu, ukiumwa tafadhali fika kituo cha afya. Onana na tabibu, mueleze ukweli. Kisha akuandikie dawa. Tuepuke sana matumizi holela za dawa.
Ni kweli mkuu hasa hizi Antibiotics hazifai kabisa.
 
Kuna dogo nae alikuwa anadandiadandia wanawake bila ndomu akatumbukia shimo ndilo silo,

kaanza kuugua kajikausha eti iwe siri yake. Siku alianza kulia kama mtoto mdogo akiwa anakojoa huku kashikilia mti, mboo ndo ilikuwa kwenye hatua za awali ioze.

Ngono ni tamu lakini maswahibu yake watu huwa wanajuta hadi vifo vyao.
 
Back
Top Bottom