Nimeyakanyaga kwa mke wa mtu

Nimeyakanyaga kwa mke wa mtu

Wakuu habari.

Wiki mbili nyuma katika pita pita zangu nilifanikiwa kukutana na mrembo wa kinyarwanda ambaye ni alikuwa jirani yangu zamani kidogo na pia ni mke wa mtu. Ambaye tulipiga story mbili tatu na mwishowe tukabadilishana namba!.

Badae kilichofatia tukakubaliana tuonane na tukakulana tena peku baada ya hapo mzigo ukaanza kutema USAA nikasema sio issue nikakimbilia kununua AZUMA zikadunda nikasema usinitanie nikanunua Cipro+Dox+Metro nikapiga lakini mzigo unatema tu! Nikaona kifo hichi hapa mtu nakufa kwa UTI.

Nikaamua nimtafute expert ndio akanielekeza dawa nyingne inaitwa Amoxclavu angalau Mwanga nauona maana mzigo sasa hivi unatema maji maji! Ashukuriwe mkemia aliyegundua Amoxclavu.

Hapa najiuliza Mme wake anakulaje mzigo na hapati hizi dhahama au hawakulani!.
Hiyo uliyopata siyo UTI ni ugonjwa wa zinaa unaitwa kisonono (gonorrhoea), acha kufanya mapenzi bila kinga, utakuwa na ukimwi pamoja na homa ya ini
 
Pagum sana hasa hasa hizi UTI kwenye swala la Ukimwi angalau mtu unaweza tumia hata Mafuta Ili utelezi uwe wa kutosha.
Wala siyo pagumu, ni ujinga tu na upumbavu, muwe mnatumia kinga.
 
Hiyo uliyopata siyo UTI ni ugonjwa wa zinaa unaitwa kisonono (gonorrhoea), acha kufanya mapenzi bila kinga, utakuwa na ukimwi pamoja na homa ya ini
How do u come to this conclusion..hiyo gono hata ukitunia kinga unaweza pata vizur tu ukijisahau uka contact yale maji maji..Ukimwi unaingiaje hapo?
 
Pole sana kijana, wakati mwingine kuwa makini Zinaa ipo.
 
Baada ya siku 120 kapime Potential Difference (voltage) maana Mshahara wa zinaa ni grid ya Taifa.
Tunaweza kupata source hapa tukaongeza some amount of megawatts kwenye grid kucover difficit iliyopo
 
Nina maswal mawili muhimu naomba kujuzwa.

MSINGI WA SWALI
Kuna kipind (muda mrefu kidogo) niliparamia wanawale wawil katika tofaut ya siku 3 toka mmoja had mwingine.

Ila siku nimetoka kumla yule wa pili (alikua ana shombo kwakwel zoez nilikatisha njian nikamwambia kbisa i cant do it) kesho yake asubuh nika experience discharge za usaha wakat wa kukojoa...

Ukumbuke mara zote hizo nilitumia Condom, so kwakua mimi ni muoga sana wa kuugua, nikakimbia harala sana saa hiyo hiyo hospital nikajieleza kama naungama kwa padre vile sikuficha kitu kwa yule dada daktari.

Akaniandikia vipimo vya damu na mkojo na baada ya majib nakumbuka mpaka leo majibu yaliandikwa
CLOUD , PULSE, >=100

SWALI.

1. NILITUMIA KINGA ,KWANN NILIPATA HIYO SHIDA
2. KNACHUKUA MUDA GANI KUKOJOA USAHA BAADA YA KUKUTANA NA MWANAMKE MGONJWA?

hii kitu sikuwahi kuipatia majib kabisaa mpaka leo
Kwa Gono mwanume inachukua usiku mmoja tu,kesho yake utaona mambo...
 
Wakuu habari.

Wiki mbili nyuma katika pita pita zangu nilifanikiwa kukutana na mrembo wa kinyarwanda ambaye ni alikuwa jirani yangu zamani kidogo na pia ni mke wa mtu. Ambaye tulipiga story mbili tatu na mwishowe tukabadilishana namba!.

Badae kilichofatia tukakubaliana tuonane na tukakulana tena peku baada ya hapo mzigo ukaanza kutema USAA nikasema sio issue nikakimbilia kununua AZUMA zikadunda nikasema usinitanie nikanunua Cipro+Dox+Metro nikapiga lakini mzigo unatema tu! Nikaona kifo hichi hapa mtu nakufa kwa UTI.

Nikaamua nimtafute expert ndio akanielekeza dawa nyingne inaitwa Amoxclavu angalau Mwanga nauona maana mzigo sasa hivi unatema maji maji! Ashukuriwe mkemia aliyegundua Amoxclavu.

Hapa najiuliza Mme wake anakulaje mzigo na hapati hizi dhahama au hawakulani!.
Washakufungia umeme bure kabisa
 
Kwa Gono mwanume inachukua usiku mmoja tu,kesho yake utaona mambo...
Basi niliyavagaa bwana.Nikitoka nduki hospital sikungoja .Yan ile kuona first time tu ilikua asubh, ratiba zote za siku nikavunja mbio hospital kwanza.Mi mwoga sana likija suala la afya 😂😂
 
Mbona huzungumzii ngoma? Bado hujavuka ng'ambo bro, kapime kipimo kikubwa aka VVU
 
Wakuu habari.

Wiki mbili nyuma katika pita pita zangu nilifanikiwa kukutana na mrembo wa kinyarwanda ambaye ni alikuwa jirani yangu zamani kidogo na pia ni mke wa mtu. Ambaye tulipiga story mbili tatu na mwishowe tukabadilishana namba!.

Badae kilichofatia tukakubaliana tuonane na tukakulana tena peku baada ya hapo mzigo ukaanza kutema USAA nikasema sio issue nikakimbilia kununua AZUMA zikadunda nikasema usinitanie nikanunua Cipro+Dox+Metro nikapiga lakini mzigo unatema tu! Nikaona kifo hichi hapa mtu nakufa kwa UTI.

Nikaamua nimtafute expert ndio akanielekeza dawa nyingne inaitwa Amoxclavu angalau Mwanga nauona maana mzigo sasa hivi unatema maji maji! Ashukuriwe mkemia aliyegundua Amoxclavu.

Hapa najiuliza Mme wake anakulaje mzigo na hapati hizi dhahama au hawakulani!.
MJOMBA HIYO SIO UTI [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom