Nimeyakanyaga kwa mke wa mtu

Sasa wewe UTI umeitafsiri Je ?!.
Magonjwa yote ya njia ya mkojo ikiwemo hayo ya zinaa ndiyo UTI yenyewe.
Usipambe ugali na rangi ili iwe keki UTI ni moja ya ugonjwa wa njia ya mkojo ila yapo magonjwa ya ngono si lazima ufanye ngono ili upate UTI lakini gono kaswende pangusa na mengineyo lazima ufanye ngono ndipo uyaoate. Mleta mada ana gono hakuna infection inayotoa usaha ukiona usaha hilo ni gono tena umekunywa na antibiotics na haijasaidia loh hilo gono sugu
 
Nina maswal mawili muhimu naomba kujuzwa.

MSINGI WA SWALI
Kuna kipind (muda mrefu kidogo) niliparamia wanawale wawil katika tofaut ya siku 3 toka mmoja had mwingine.

Ila siku nimetoka kumla yule wa pili (alikua ana shombo kwakwel zoez nilikatisha njian nikamwambia kbisa i cant do it) kesho yake asubuh nika experience discharge za usaha wakat wa kukojoa...

Ukumbuke mara zote hizo nilitumia Condom, so kwakua mimi ni muoga sana wa kuugua, nikakimbia harala sana saa hiyo hiyo hospital nikajieleza kama naungama kwa padre vile sikuficha kitu kwa yule dada daktari.

Akaniandikia vipimo vya damu na mkojo na baada ya majib nakumbuka mpaka leo majibu yaliandikwa
CLOUD , PULSE, >=100

SWALI.

1. NILITUMIA KINGA ,KWANN NILIPATA HIYO SHIDA
2. KNACHUKUA MUDA GANI KUKOJOA USAHA BAADA YA KUKUTANA NA MWANAMKE MGONJWA?


hii kitu sikuwahi kuipatia majib kabisaa mpaka leo
 
HUNA AKILI, rejesha akilizo kwanza
 
90% ya wanawake wanaumwa ila hawajijui yaani ukipiga demu ukatoka Salama bila gono wala UTI na fungus sugu shukuru mungu.
 
Swala la UTI kupata nirahisi hata ukitumia condom but kuwepo na contact kati ya uume wako na maji maji ya uke hasa hasa wakati wa kuvua condom au ukipiga Finger then ukajishika kwenye uume tayari unakuwa ushanasa.
Uume kuanzia kutoa USAA nadhan ni kuanzia siku mbili na kuendelea.
 
Basi nimekusoma na majibu nimepata shida ilianzia wapi.Ahsante sana mkuu
 
😅
 
Mali ya mtu hailiwi ovyo, kwan huu msemo hujawahi uskia sasa matokeo yke ndio hayo, hvyo BC ucwaze sn maana mwenzio akimla mkewe Wala hapatw na hyo changamoto yko...

Tena shukuru umepatwa kutokwa na USAA vinginevyo ungepatwa na kubwa zaidi ya hilo mkuu[emoji23]

Ila mke wa mtu ntakutoa jmn nyie dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…