Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu

Hakika umechagua fungu lililo jema...

Kuna wakati huwa nasita kuchangia harusi (nawaambia sina hela), halafu ule mshiko nausogeza sadaka kwa kituo fulani hivi cha watoto yatima...
Wivu tu, unaimagine jamaa atakqvyofaidi unahisi kwanini usingekuwa wewe
 
Mungu ni mwaminifu sana.azidi kukutunza na kukulinda kila siku ndugu yangu.wanadamu si watu wema(sio wote)

Tena bora hata mtu baki kuliko hawa ndugu [emoji3064][emoji3064]
Kabisa yani,binadamu anaweza kuwa anakuchekea kumbe anataka akujaze tu katika 18 zake then akuharibie mazima.
 
Unahuruma sana

Nimefundishwa tangu mdogo na kuona jinsi mama na baba walivyokuwa wanawasaidia na mpaka leo
Na sisi wote tumefuata njia hiyo imekuwa kawaida kuzuru hospitali asubuhi na mapema (mama alikuwa anawapelekea hata mikate alfajiri)

Siwezi kuona mtoto ana njaa nikampita tu never

Namuomba Mungu ni adapt hata watoto wawili wakae na wanangu sitanii
Jamani tembeleeni sehemu za yatima wanafarijika sana
 
Sikua nacheza kamali kwasababu ya addiction au whatever it is.
Nilikua nacheza kamali ili kupata pesa ya mahitaji ya nyumbani.

Ila now nashukuru Mungu maisha yanaenda ndani ya ajira ya serikali ya CCM.

#YNWA
Ndio endelea kubet upate hela ya kufanya makubwa
 

Nakuombea ufanikiwe malengo na maombi yako yote
Pole kwa yote ila binadamu wengi ni wema na wengi pia wana uhitaji na tunazidiana
Hivyo tujitahihidi hicho hicho kidogo kwao ni kikubwa
Tumefundishwa kuwa hata Tabasamu ni baraka na thawabu pia

Kama una malengo ya kuwa na watoto Yatima kwanini usitafute msaada wa nje upate sponsors hata kitu kama NGO
Hela zipo nyingi nje na watu wanasaidia sana kwa kutoa huwa naona kwenye tv advert nyingi Ila sijafikiria hilo kwani inabidi niwe huko ila wewe unaweza huko
 
Sikuwahi kuliona hilo wa wazazi wangu wakiwatembelea wahitaji nafikiri pengine labda na sisi Kwa miaka hiyo ya nyuma tulikuwa tukihitaji msaada…😄😄maisha haya ni fumbo kubwa sana.hakuna mtu atanidanganya utamu na uchungu wa maisha ya dhiki 😀😀hakuna.

Nafikiri ni baraka nimejaaliwa kuwa na roho ya kutoa na kuvaa viatu vya wahusika..roho ya upendo na huruma zaidi nimeiona Kwa baba yangu sisemi kuwa mama hana upendo wala huruma…hapana ila vitu vingi nilivyonavyo nimerithi kutoka Kwa baba.

Watoto yatima wanahutaji faraja sana aise
 
Magumu uliyopitia wewe umeamua kumpitisha pia mwanao huyu wa kike kwa kumfanya akose upendo wa MAMA! Hivi unajua umemfanya mwanao naye awe 1/2 yatima??
Mimi na mama ake tuna uhusiano mzuri kwasababu ya ustawi wa mtoto.
Mtoto anaishi kwangu na kwa mama ake inategemea kipindi kama ni likizo au Shule.
Nimemuomba mama ake niondoke na mtoto akaione dunia na yeye.
Amekubali kwa maana hata huko alipoolewa kazaa watoto wengine.
Mtoto anapendwa na wazazi wote, na mama ake alivyoona sina mpango wa kuoa aliamua kuachana na Mimi na kwenda kuolewa hukooo.
Nakubali umepitia magumu japo kuna wengine wamepitia magumu zaidi, nasikitika kwamba badala ya kuwa mnyenyekevu shauri ya maisha uliyopitia umekuwa na kiburi na kujiona!

Narudia palepale nimeamua kuchagua njia ya KUSOMA na KUTAFUTA HELA.

#YNWA
 
How old is she? Kama anasoma ukiondoka si unamsimamisha masomo au?
Huko nakoenda Nina jamaa pia namjua ye familia iko huko.
Kanielekeza kila kitu juu ya elimu ya msingi na secondary.
Mwanangu yupo English medium anasoma la kwanza.
Nataka akasomee kule hata moja wapo ya level ya elimu ili tu akili itanuke.
Tho waweza ona ni sahihi ila unasababisha mtoto ashindwe kuform relationship later on atashindwa kuform na kumaintain relationship. Unapelekea emotional growth kukwama Na namna yake ya kuditch uhusiano will be just to up and leave.

Kusoma napenda.
Mimi na mama ake tupo vizuri kwasababu ya mendeleo ya mtoto.
Mama ake alivyoona mi nimegoma kuoa aliamua kwenda kuolewa huko.
Then kilichobaki Mimi na yeye ni malezi ya mtoto tu

#YNWA
 
Amen BS

Nilishajaribu kuzungumza na baadhi wa watu wa karibu lakini najikuta nakatishwa tamaa wachache mno walilichukulia positive..

Wengi wanasema lazima uwe na kitu ndipo umfate mtu kutaka kitu..bado safari ni ndefu Nikipiga mahesabu kichwa kinauma..naishia kufanya sehemu ambapo mkono wangu unaishia.

BS naomba unioneshe njia.nishike mkono ikikupendeza..naamini katika hili nahitaji watu zaidi
 
Mtoto bado ni mdogo lakini 🥺🥺🥺
 
Hasira za mama zako wadogo ndo unashushia watoto wa watu, nilitegemea ulivyoumizwa wewe usingekuwa unaumiza wengine,, kuanza PhD si mafanikio sana maisha yanaweza kukuchapa vizuri na PhD yako, ishi vizuri na watu punguza kiburi na majivuno,
Ndo maana kumbe yuko hivi asee....[emoji848][emoji848][emoji848]

PHD kama PHD[emoji1787][emoji1787]
 
Mtoto bado ni mdogo lakini 🥺🥺🥺
Mama ake aliolewa akiwa na miaka 2
Hivi sasa amekuwa anakaa kwangu na kwa mama ake kwa msimu.
Ila anapenda kukaa kwangu na ananipenda hasaaa.

Then ni kwangu, ni familia yangu na INATOSHA.

Atakua na atakua na chaguo lake huko kama ni kuolewa au vipi, atajua yeye hapo mbele achague njia ya mama au ya baba.

#YNWA
 
Pole na hongera,ila nakushauri hayo maswali waulize,wakaribishe kwako upike msosi wa nguvu,wale then wapige maswali

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Umeniliza aseeeh!!!sasa naelewa kwa nini unasemaga hutaki kuoa!ndo maana sijawahi kukulaumu!kumbe 80% ya wanawake walianza kukuumiza toka uko mtoto!
Hongera kwa shangazi na Dada!
Ktk maisha yangu naogopa Sana'a kunyanyasa mtoto wa mtu!sijui nimeumbwaje Mimi!
 
Pole sana mkuu, ila kama ni mie ningeanza kumshughulikia mmoja baada ya mmoja.

Napenda kufanya visasi kusamehe labda nipende tu.

Unifanyie ubaya then nikuangalie tu!... Hapana naweza kujidhuru mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…