BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Unachokitafuta utakipata...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naitaka damu yangu, na nasubiri hiyo mimba ajifungue alelewe mpaka amalize form four then nachukua wanangu
Bila katiba mpya nakuambia hao watoto hutawapata.Wazima? Mimi ni kijana tu wamiaka 24 nasoma bado, nipo chuo mwaka wa 3. Mwaka wa 1 niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja tu, ni binti wa rikalangu. Sikujua kumbe mumewe ni mtu mzito tu mpaka nilipoona picha wakiwa wawili.
Alikuwa analalamika haridhishwi na pia mumewe alikuwa na kisirani, ukizingatia maisha ya chuo magumu basi nilikubali kuendelea naye ili nipate chochote kitu.
Baadaye akaja kupata mimba ambayo kwa mara ya kwanza nilijua ni ya mume wake, mpaka baadaye aliponitonya kuwa ni yangu na kunipiga biti nikae kimya atanilelea mtoto,.
Yeye na mumewe wana watoto wawili, mwanangu sasa ana miaka karibu miwili na kafanana na mamaye. Roho inaniuma kwani huyu bosi analea mtoto asie wake. Nataka sana kuishi na damu yangu.
Kikubwa kilichonileta hapa ana ujauzito mwingine kwani tuliahiriki mapenzi siku za hatari. Na mumewe hajajua kwani kamdanganya mimba ni yake. Naogopa mno kwa kweli kwani sijazoea mikiki ya hivi.
Jamani naombeni uahauri life la chuo ni gumu mno na nashindwa kumuacha huyu dada, na siku zinavyokwenda najikuta nampenda na mimi. Na vipi kuhusu mwanangu na ujauzito wangu?
Nimuache? Je vipi mwanangu nitampataje? Yeye anasema atasomeshwa, atakula na atalala nisiwe na shaka.
Akimaliza form four ndio utakuwa na uwezo wa kumlea na kumsomesha high school, chuo n.k. si ndio eeh??! 🤔Naitaka damu yangu, na nasubiri hiyo mimba ajifungue alelewe mpaka amalize form four then nachukua wanangu
Hana mpango huo! Anachokitafuta atakipata.Kwa usalama tu kaa mbali sasa na mke wa mtu, ipo siku yatakukuta makubwa na huko kupenda kulelewa kutakutokea puani
unashangaa nini wakati waume zao hawajitambui......na wanatusumbua sana hawa wake za watu1. Hebu kausha Kwanza.
Waache watoto walelewe vema.
Wewe soma , maliza tafuta maisha na uoe.
Achana na hiyo familia kabisa.
2. Mkeo pia atagongwa na ww utalea watoto wawili wasio wako. Karma is real.
3. Nashangaa sana wanaume wanaotembea na mke wa mtu. Baada ya kujua si ungeachana nae? Hata kama maisha ya chuo magumu, sio kuteleza kwa mke wa mtu namna hiyo,
Aaaagh!.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ya bw. KheriNdizi iliyozaliwa kwenye mgomba wa bwana Kheri ni ndizi ya nani?
Aliloweka Mpaka Shida Alelewe Kasahau Kuwa Mbegu Zinaota, Akienda Kusogelea Mlango Wa Watu AtajutaJamanii em' tupunguze hizi njaa...dah!!! Mtoto wa kiume pambana achana na hizo mambo za wake za watu,afu' sio wewe tuu mwenye life gumu huko chuo mpo wengi tuu I know ila wewe unaendekeza sana njaa nyau wewee,😏