Nimezaa na mke wa mtu, roho inaniuma mwanangu kulelewa na baba mwingine

Nimezaa na mke wa mtu, roho inaniuma mwanangu kulelewa na baba mwingine

1. Hebu kausha Kwanza.

Waache watoto walelewe vema.

Wewe soma , maliza tafuta maisha na uoe.
Achana na hiyo familia kabisa.

2. Mkeo pia atagongwa na ww utalea watoto wawili wasio wako. Karma is real.

3. Nashangaa sana wanaume wanaotembea na mke wa mtu. Baada ya kujua si ungeachana nae? Hata kama maisha ya chuo magumu, sio kuteleza kwa mke wa mtu namna hiyo,
Aaaagh!.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]
 
Watu wengine hawaitaji ushauri wa kuandika andika hivi ni kupigwa makofi mawili matatu mashavu yachangamke akili ukae Sawa
 
Ila kweli naamin tuna jamhuri ya kizazi cha hovyo.[emoji38][emoji23][emoji23]just imagine dume linakuja kulia ugum wa maisha so linazaa na mme wa mtu kweli ili kujinusuru na wakati angeweza kufanya mambo kibao ya msingi ya kupata kipato lkn anategemea kitonga kwa Sugar mumy wake kwa kumzalia anyway sadness story.
 
Nime ishu
Wazima? Mimi ni kijana tu wamiaka 24 nasoma bado, nipo chuo mwaka wa 3. Mwaka wa 1 niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja tu, ni binti wa rikalangu. Sikujua kumbe mumewe ni mtu mzito tu mpaka nilipoona picha wakiwa wawili.

Alikuwa analalamika haridhishwi na pia mumewe alikuwa na kisirani, ukizingatia maisha ya chuo magumu basi nilikubali kuendelea naye ili nipate chochote kitu.

Baadaye akaja kupata mimba ambayo kwa mara ya kwanza nilijua ni ya mume wake, mpaka baadaye aliponitonya kuwa ni yangu na kunipiga biti nikae kimya atanilelea mtoto,.

Yeye na mumewe wana watoto wawili, mwanangu sasa ana miaka karibu miwili na kafanana na mamaye. Roho inaniuma kwani huyu bosi analea mtoto asie wake. Nataka sana kuishi na damu yangu.

Kikubwa kilichonileta hapa ana ujauzito mwingine kwani tuliahiriki mapenzi siku za hatari. Na mumewe hajajua kwani kamdanganya mimba ni yake. Naogopa mno kwa kweli kwani sijazoea mikiki ya hivi.

Jamani naombeni uahauri life la chuo ni gumu mno na nashindwa kumuacha huyu dada, na siku zinavyokwenda najikuta nampenda na mimi. Na vipi kuhusu mwanangu na ujauzito wangu?

Nimuache? Je vipi mwanangu nitampataje? Yeye anasema atasomeshwa, atakula na atalala nisiwe na shaka.
Nimeishi chuo maisha magumu ,bumu ninalopata ninagawa na nyumbani angalau wadogo zangu nao wapate .Nilifanya vibarua muda waziada na sikuwahi fikiria kulala na mwanaume sababu ya pesa. Yaani unaudhalilisha ujana wako hiviiiii puuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom