Nimezaa na mke wa mtu, roho inaniuma mwanangu kulelewa na baba mwingine

Nimezaa na mke wa mtu, roho inaniuma mwanangu kulelewa na baba mwingine

Tupige vita umaskini aisee, yani mwanao analelewa na baba mwingine kabisa kabisa daaah.
Yani we jamaa ukifa leo itafahamika huna mtoto na wala mwanao hatajua ka we ndio mdingi.
Mzee acha uboya wa kuzaazaa na huyo mwanamke, mwanachuo gani unakua bongolala namna hiyo.
 
Bwanamdogo kua makini, chunga sana, huko unakoelekea utapigwa na kitu kikali sana kichwani hutoamini .

Umejaribu kuelezea situation ilivo japo umetumia uongo mwingi, maybe ni kwasababu hata wewe umedanganywa ukaamini ila tumekuelewa.

Ushauri wangu binafsi naanzia hapa "mtoto kafanana na mama" ......."mpaka alipokuja kunitonya".
Huna mtoto hapo wala mimba, the rest ni ujinga unaaminishwa.
Achana na huyo dada, acha kuendekeza njaa, take full responsibility pambania maisha yako. Siku moja utapata watoto ambao utawalea na mama yao kwa jasho lako & you will be proud of that.

Hapo ulipo afya yako na usalama wako umeweka rehani.

Mwanamke akiwa na jambo lake atakudanganya, atakupet, atakubembeleza atakupamba, atakupa sifa ambazo hata huna ili tu anachohitaji kitimie, inshort ni watu ambao hupaswi kuwaamini. But the choice is yours.

Wazima? Mimi ni kijana tu wamiaka 24 nasoma bado, nipo chuo mwaka wa 3. Mwaka wa 1 niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja tu, ni binti wa rikalangu. Sikujua kumbe mumewe ni mtu mzito tu mpaka nilipoona picha wakiwa wawili.
o
 
Naona unacho kutafuta ni kumtafutia mzee wa watu zambi zisizo na faida tu. We endelea kusema unataka mwanao [emoji1][emoji1] ...mzee kiufupi tu hapo hauna mtoto na Kama kishilingi kinakuwasha tafuta watu wengine wakukune acha kumtafutia mzee wa watu dhambi . Hutaki kuelewa we yatibue ujionee na utuletee mrejesho
 
Wa kwangu, mpaka makomwe tumefanana. Yeye na mumewe hawana makomwe, ila mwamba hajastuka bado
Hahahah in his voice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi simoooo[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] mshaurini watamtatua huyu ohooo
 
Dunia ndio mwalimu mkongwe tangu enzi na enzi
Hakikisha mkwanja upo maana yake uwe na nguvu hata ukisema unalianzisha unakuwa na stamina ya balaa ila kubali matokeo mawili kuvunja ndoa ya watu au kuvunjwa wew
Binadamu sumu inayo uwa kimya kimya

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Hu
Yaan saizi upo chuo mwaka wa 3 unamiaka 24 .

Ila ukiwa mwaka wakwanza ndo ulikutana na Mdada wa rika lako yaan wee ukiwa na miaka 22 na yeye pia???.

Wakat huo akiwa namika 22 huyo dada, alikua tayae keshazaa watoto wawili na mumewe ...( tukichukulia kua wamepishana mwaka 1+9 ya mimba inamaana, huyo kigogo alimuoa akiwa na miaka 16 ??

Kigogo alioa mtoto sa shule.

WEWE SEMA HIVI, UNA LIJIMAMA AU LIBIDADA TU LINAKUZIDI MIAKA KADHAA ( SIO DHAMBI) LINAKUWEKA MJINI N.K

ila usipende hiyo tabia, kuna majimama ya ngoma alafu yanahela.

Hujui siku hizi, nikawaida mume namke kumeza ARVs?
Huyu boya analeta chai zake za Mchana na joto Kali hili. Sijui anafikiri Humu ni Fesibuku. Umemuweza arudi Tena tumkomeshe Punguani huyu
 
Usisumbue watu, Wewe ni kiwanda cha mbegu kazi yako ni kusambaza shahawa kwa bei ndogo.
 
Nyie ndo wasenge ambao hutakiwa mpigwe lisasi za mkunguni mpumbavu kabsa,nmeandka nikiwa na hasira sana,

Limtu linazaa na mke wa mtu afu linaenda kudai mtoto,una haribu ndoa ya watu wakat hata huwez kumuoa mwanamke huyo
 
Sasa Una mbavu ya kulea mkuu wakati na wewe unalelewa....
Tulia totoo mama yako akitoka kwa wadogo zako akuletee na wewe japo chochote kitu
maumivu utapoozea kwenye Nyonyo ya mama
pia usisahau kula mbususu pengine itakufanya kidogo ujiskie mwanaume mtunukiwa
 
Kufupisha Stori, Fanya hivi Nenda Kwa huyo Mzee mwambie. " Mzee nilitembea na mke wako nikampa Mimba na huyo mtoto ni wangu nimekuja kumchukua maana ni mbegu yangu na damu yangu lazima nimchukue"
Then utatuletea mrejesho
 
Back
Top Bottom