Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kati ya anaeiba kitumbua na anaekila wazi nani ana uwezekano wa kushiba?Una uhakika gani kwamba anayedanganywa ni mumewe na sio wewe?mi naona wewe ndio unadanganywa hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya anaeiba kitumbua na anaekila wazi nani ana uwezekano wa kushiba?Una uhakika gani kwamba anayedanganywa ni mumewe na sio wewe?mi naona wewe ndio unadanganywa hapo.
oWazima? Mimi ni kijana tu wamiaka 24 nasoma bado, nipo chuo mwaka wa 3. Mwaka wa 1 niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja tu, ni binti wa rikalangu. Sikujua kumbe mumewe ni mtu mzito tu mpaka nilipoona picha wakiwa wawili.
Wa kwangu, mpaka makomwe tumefanana. Yeye na mumewe hawana makomwe, ila mwamba hajastuka badoUna uhakika gani kwamba anayedanganywa ni mumewe na sio wewe?mi naona wewe ndio unadanganywa hapo.
Mkuu amka hii ndoto kinachofuatia utaingia chooni kukata gogo kumbe unakunya kitandani.Naitaka damu yangu, na nasubiri hiyo mimba ajifungue alelewe mpaka amalize form four then nachukua wanangu
Hahahah in his voice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi simoooo[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] mshaurini watamtatua huyu ohoooWa kwangu, mpaka makomwe tumefanana. Yeye na mumewe hawana makomwe, ila mwamba hajastuka bado
Dhambi ya kula mke wa mtu itakutakutafunaSawa ila bado life halisomeki nipo chuo
Sawa ila bado life halisomeki nipo chuo
Huyu boya analeta chai zake za Mchana na joto Kali hili. Sijui anafikiri Humu ni Fesibuku. Umemuweza arudi Tena tumkomeshe Punguani huyuYaan saizi upo chuo mwaka wa 3 unamiaka 24 .
Ila ukiwa mwaka wakwanza ndo ulikutana na Mdada wa rika lako yaan wee ukiwa na miaka 22 na yeye pia???.
Wakat huo akiwa namika 22 huyo dada, alikua tayae keshazaa watoto wawili na mumewe ...( tukichukulia kua wamepishana mwaka 1+9 ya mimba inamaana, huyo kigogo alimuoa akiwa na miaka 16 ??
Kigogo alioa mtoto sa shule.
WEWE SEMA HIVI, UNA LIJIMAMA AU LIBIDADA TU LINAKUZIDI MIAKA KADHAA ( SIO DHAMBI) LINAKUWEKA MJINI N.K
ila usipende hiyo tabia, kuna majimama ya ngoma alafu yanahela.
Hujui siku hizi, nikawaida mume namke kumeza ARVs?