Nimezaa na mke wa mtu, roho inaniuma mwanangu kulelewa na baba mwingine

Kufupisha Stori, Fanya hivi Nenda Kwa huyo Mzee mwambie. " Mzee nilitembea na mke wako nikampa Mimba na huyo mtoto ni wangu nimekuja kumchukua maana ni mbegu yangu na damu yangu lazima nimchukue"
Then utatuletea mrejesho
Watu wanalazimisha kubabuliwa marinda[emoji38][emoji38][emoji38]
 
unashangaa nini wakati waume zao hawajitambui......na wanatusumbua sana hawa wake za watu
Kama unasumbuliwa unakubali, wewe ni malaya. Naona maisha yako yako hatarini. Kwa mawazo yako (mwizi) utakubaliana na mbakaji kudai mtoto kwa sababu mbegu ni zake. Kumbuka wewe ni mwizi asiyetumia nguvu na mbakaji ni mwizi wa kutumia nguvu.
 
Ahaa kumbe wewe ni kaka poa?
Unauza nyege?
Wenzako tunalipia mahali pa kukojolea mkuu.
 
Hakuna mtoto atachagua maskini aache baba tajiri
 
Achana na chuo kama huoni future huko tafuta pesa haraka muda wowote utaletewa familia uyo wabpili sura itakapo fanana na wewe ndo utakua mwisho wa kitonga
 
Sad,ila ndo uhalisia wa sasa ndoa nyingi watoto si wa baba mjengo
 
Mwanachuo aliesoma??? wakati mambo yako kichwani ni ya kipumbafu .ulienda kusoma nn sasa ni Bora ungeacha wengine wakapata fursa hizo
 
Huyo siyo mwanao huwezi kupanda mbegu shamba la watu halafu mti ukikua ukadai uchume matunda. Tafuta shamba lako upande mbegu zako huko. Umepoteza haki labda baba yao awakatae na akijua anaweza kukudai fidia kubwa kwa ugoni kama siyo kukuua.
 
Kutenda kosa si kosa kurudia kosa ndo kisanga.......unalolitafuta kijana lipo mbioni kukupata

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Naitaka damu yangu, na nasubiri hiyo mimba ajifungue alelewe mpaka amalize form four then nachukua wanangu
Utakufa mbwa wewe, wewe ridhika muhimu mwanao unamtambua na mamake anajua siku akikua na akawa amepevuka akili ataambiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…