Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
-
- #261
Njoo ndani tuongee kituMimi sio falaaaaaaaaaa
Mkuu ebu niwie radhi bana πππ
ili nimkute mshangazi wako anifumue kam sikuileNjoo ndani tuongee kitu
Eli huwa mkorofi sana ila kumbuka mkuu wa shule January hiiView attachment 3211098
Kaka, kakaπ‘π‘
Wee wa kumwogopa dorry kweli..ili nimkute mshangazi wako anifumue kam sikuile
HAA!! πππππππππ Alafu wee jamaa ukute upo seriously kabisa an daaah
Nioe chap bas πkabla sjachoka ku fake tabia yanguSawa sawa msapinungu..
Ila nimepata wazo hili.
Ikiwa huyu single maza ananipa amani na furaha ya moyo.
Yanini niwe na dhana kuwa atakua anapasha viporo..
Why niwe na hiyo dhana (negativity).
Mkuu kiukweli mi nimepanga nile.na kusepa ila kwa jinsi anavyoonesha nidhamu hyu mtu daah i feel i lose my control....
Seriously yupo humble sana mkuu.
Yupo matured.
Kwa aliypitia nahisi imefanya apate funzo kubwa sana aiseee..
Mpaka sasa wazo la kusema nipige na kusepa limeanza kutoka maana nahisi kama takua namuumiza sana yaan mimi nilijua nimezama kwake ila kwa kitendo alichofanya leo i belive huyu mtu aaaaah mkuu acha tuu
ππΎββοΈππΎββοΈ Ushalewa weweWee wa kumwogopa dorry kweli..
Ebu njoo bana
HahahahaEli huwa mkorofi sana ila kumbuka mkuu wa shule January hii
View attachment 3211109
Sasa mkuu hata wewe unakutana na mtu kama huyo na umempenda na unaona kabisa kwa mienendo yake awezi rudia matapishi..HAA!! ππ
Kumaliza vidole vyangu ku-type yote hayo bado unaona natania!!!!???
Njoo basi mbona kimya ahahha na bichwa hiloππΎββοΈππΎββοΈ Ushalewa wewe
Ahahaha alafu wana aina yao ya kuweka vidole kwenye desk ahahaha hapa ada tuu
Baby naomba tujirecord......""""Nioe chap bas πkabla sjachoka ku fake tabia yangu
Nakutakia kila la heri. Sijui kwanini unanijia wimbo wa Dr Remi " Kipenda Roho".Sawa sawa msapinungu..
Ila nimepata wazo hili.
Ikiwa huyu single maza ananipa amani na furaha ya moyo.
Yanini niwe na dhana kuwa atakua anapasha viporo..
Why niwe na hiyo dhana (negativity).
Mkuu kiukweli mi nimepanga nile.na kusepa ila kwa jinsi anavyoonesha nidhamu hyu mtu daah i feel i lose my control....
Seriously yupo humble sana mkuu.
Yupo matured.
Kwa aliypitia nahisi imefanya apate funzo kubwa sana aiseee..
Mpaka sasa wazo la kusema nipige na kusepa limeanza kutoka maana nahisi kama takua namuumiza sana yaan mimi nilijua nimezama kwake ila kwa kitendo alichofanya leo i belive huyu mtu aaaaah mkuu acha tuu
Sawa sasa mbona kuja gheto hutaki na wwNioe chap bas πkabla sjachoka ku fake tabia yangu
Ahahahahaha daaah wee jamaa mnafiki sana π π π π π π π π π πNakutakia kila la heri. Sijui kwanini unanijia wimbo wa Dr Remi " Kipenda Roho".
Unaishi nae kama mke?Mkuu nimejikuta nampenda mnooo yaani najikuta namkubali kiasi ambacho akivaa ki jinsi flan yaani huwa nashindwa ku explain what is matter...
Wewe mkuu ujawahi kumuona ila naimani ukimuona lazima hata wewe utachanganyikiwa naimani hvo