Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

K za Bure
 
Hakuna wakuwapiga mawe Ila lazima mjifunze, Unazalishwa huko unamdharau aliyekuzalisha alafu unatafuta wa kuwaonea huruma,
Single mother asilimia 99 ni wajeuri, viburi vimewajaa, madharau na umalaya unao sababishwa na tamaa za kijinga!
pole, sio wote wanatafuta huruma wengi ni wapambanaji. tunapambana kwa ajili ya ndoto zetu na watoto wetu. single mother na anayetoa mimba yupi bora?
 
Mkuu huyo mumewe naskia wamekaa zaidi ya miaka 7 ila walivoachana ni miezi 10 imefika .. kinachonifurahisha mwanaume ameoa pia hana mpango nae kabisa.

Kwamba unachukia mtu mwenye ujuzi wa kutosha miaka 7 kutoka kwa mumewe, upo vizuri.
Hapana mi sichukii ila kiukweli ni mkali jamni daaaah
 
Ata saa mbovu kuna wakati inasoma muda sahihi 🀣🀣🀣
Ukimchoka single mama basi nipigie pande na mie nile mbususu
Mkuu kama upo karbu na gomzi mi nakupasia bas hata namba mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…