Nimezodolewa na manesi

yaani watu wako radhi waingiliwe kote kunakoingilika kisa wanatunza bikira.what the heck!!!
 

Kaka Kiiza wacha kutukana watu na makabila yao, wacha ujinga kabisa kabisa.

Na uwaombe radhi Wapemba kwa ujinga wako huo.
 
Wewe Bujibuji wacha uongo na kudhalilisha wanawake hata kama huyo ni mkeo.

Umesikia wapi hicho kitu unachodai amefanyiwa mkeo?

Kama ulikuwa na nia ya kufurahisha jamii sasa inaonyesha jinsi ulivyokuwa huna ustaarabu hata kidogo. Tunaomba hizi topics nyengine zifutwe kabisa kwani hazina mantiki.
 
Kuna taaluma 3 muhimu katika nchi hii ambazo zimechakachuliwa na kugeuzwa kimbilio la waliofeli shuleni kwa uzembe:
  • unesi (tpo of the list)
  • uandishi wa habari
  • ualimu wa primary school
 
Kuna taaluma 3 muhimu katika nchi hii ambazo zimechakachuliwa na kugeuzwa kimbilio la waliofeli shuleni kwa uzembe:
  • unesi (tpo of the list)
  • uandishi wa habari
  • ualimu wa primary school

Umeshasema waliofeli shuleni kwa uzembe hivyo wana akili ila walizembea tu kidogo shuleni so wanaweza kufanya kazi vizuri kabisa acheni kutukana watu nyinyi na hao wanaopata degree za chupi je wewe umefundishwa primary na huyo aliefeli na umezaliwa na mkono wa huyo aliefeli tena bora aliefeli we umezalishwa na mkono wa mkunga ambae hajui hata kusoma na unaishi halfu unakuja kutoa kashfa hapa
 
yaani watu wako radhi waingiliwe kote kunakoingilika kisa wanatunza bikira.what the heck!!!
Lazima zawadi yake itakuwa kubwa sana ........... lakini ni lazima watakuwa wanaufurahia maana wasinge ufanya.........
 

kama umeoa zenj au mombasa hiyo mbona kawaida, watu wanatunza bikira za mbele kwa ku-sacrifice za nyuma.
 

Mkunga ambaye hajasoma ni tofauti sana na mtu aliyepelekwa shule akafeli. Huyo ambaye hata shule hajaiona lakini bado ana ujuzi wa ukunga ni wa kuheshimiwa sana. Lakini aliyepelekwa shule halafu akafanya madudu ni wa kudharauliwa tu, kwa hilo sirudi nyuma.

Pili, miaka niliyosoma primary school mimi hakukuwa na hao walimu waliofeli form four. Watu waliokuwa wanasomea ualimu ni wale waliofaulu tu. Na hata ilipoletwa UPE, waliokuwa wanachaguliwa kwa kazi hiyo ni wale waliomaliza darasa la saba na kufaulu (tofautisha kufaulu na kuchaguliwa kuingia form 1. Enzi zetu hakukuwa na shule za kata, kwa hiyo wengi tu walikuwa wanafaulu lakini hawakupata nafasi za elimu ya sekondari). Watu ninaowaponda mimi hapa ni wale waliopata nafasi za kusoma sekondari wakazichezea wakafeli halafu sasa wanajazana kwenye hizo profession nilizotaja.

Halafu unasema 'wakazembea kidogo', unamaanisha nini 'kidogo'? Mtu anayezembea 'kidogo' anapata division 4? Sasa yule aliyezembea sana anapata nini? Acha kutetea uzezeta.
 

mi nasikiaga watu wanaojiafanya wanatunza bikira huwa wanatabia ya kutoa nyuma, sijui kweli ila ndio ninavyosikiaga jamani
 

unaona kilichokufurahisha? Hebu toa ushauri. Au mkewe ni dada yako?
Punguza jazba.
 
:embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 

shukuru MUNGU akutokea NYUMA ilo ndilo la maana uliza mademu bomba wa dar karibu wote watoto wanaokea nyuma
SIRI YAKO BEST
 
Bros pole sana maana nikiimagine aibu uliyoipata laaa, itabid akuambie ukweli maana siri imefichuka ana lala na mtu nje ya ndoa. la ulimtoa kijijini sasa ameingia mjini.

wenzangu mwanamke aliyetembea na vi boyfi ni bora kuliko mgeni kabisa katika mambo. atakuwa amechoka
mambo ya kuwa na aliye bikira yamepitwa miaka hii

pole lazima akuelezee kama una house boy mlinzi anzia hapo kuchunguza atakuwa mtu wa karibu na mtoto anaweza asiwe wako

pole sitaki imagine ila ndio ushauri wangu
 
Upolisi
Askari Jeshi na usalama wa Taifa.

Wote ni ma zamwamwa walioshindwa shule
Kuna taaluma 3 muhimu katika nchi hii ambazo zimechakachuliwa na kugeuzwa kimbilio la waliofeli shuleni kwa uzembe:
  • unesi (tpo of the list)
  • uandishi wa habari
  • ualimu wa primary school
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…