Nimpeleke mtoto shule ya milioni 1.5 au hela nimuwekezee UTT au hisa?

Wewe bado ni fukara. Tsh 30m kwa mwaka bado ni kidogo. Wastani wa Tsh 2.5m kwa mwezi. Jipange angalau ufikie 5m kwa mwezi.
Acha utoto, mimi sipo kutamba utajiri hapa, point yangu ni kuwa ada ya mwanangu naimudu,
Au kwa kuwa unatumia fake ID na unaanza kujitapa?
 
Km una pesa mpeleke, ubishani uliopo humu kikubwa ni watu kutokuwa na pesa so stress zote wanahamishia kwa wenye pesa…!!
Sidhani km mtu una pesa uanze kulalamikia vitu vya kijinga km hivi..!!!
 
Binafsi nmeaoma private mpka chuo na nafanya Mambo tofauti na nlichosomea na wanangu Mungu akipenda watapita njia hyohyo no matter what ata aje kua Nan as long as amepata exposure nyng ya dunia ya Sasa. Itamsaidia kwa namna nyengine

Kama zipo usimuangaishe dgo mpe elimu nzuri ya mazingira mazur
Huo ugumu mfundishe ww au ajichanganye apo mtaani

Kuna waliosoma wakishua ilawagumu balaa hii ni mtaa
 
😹😹😹 ujue kuna vitu waungwana mnachekesha sana.!!

Sikia usitafute visingizio km huwezi kumudu acha wala hakuna wa kukuchapa..!!
Mkuu humu ndani kuna maswali ya kijinga sana huwa yanaulizwa! Jamaa yetu kazidiwa brain na mke wake!
 
Wenzako tunafanya yote Mkuu, tunalipa hizo 1.5 shule na UTT pia tunaweka.

Kama kipato chako hakitoshi ONGEZA BIDII YA KAZI kuliko kulaumu ada za shule na kulaumu Mungu kukupa uzao
 
Endelea kujengea wewe fala mlisishe mtoto wako fixed asset zenye kuzalisha
 
Experience and real world.....hivi kusoma kwa shida na karaha ndio experience nzuri ya maisha?? Watanzania kwa nini tunautukuza umasikini kama ni sifa?? Unasema unamuandaa aje kufanya biashara kama zako yet unamuandaa kwenye mazingira magumu serious??
 
Anaomba ushauri halafu tukimshauri anatukaripia.
Elimu
Elimu
Elimu.
Kama elimu ni ghali, ajaribu ujinga basi.
Elimu sio ghali bana ni namna ya ku manipulate watu watoe hela kwa wajanja wachache,mbona maarifa yapo free hata YouTube unaweza unakomaa tu ukajua how to invest/trade stocks market na ukawa successful.
Gharama ilipo ni wewe kujitoa kuisaka elimu,mie nimesoma nimemaliza bachelor ya Engineering sijatumia hata 1M from std wani mpaka chuo, na nimesoma na nje pia Russia na udsm coet , yaani sijatumia milioni na pia nimesoma boarding miaka sita nimetoka na divisheni wani pote ,nimesoma tabora boys and ilboru.
Nje huko nasoma kwa hela za Russia and Tanzania, mie sijaona hizo Gharama mie ishu ilikuwa kusoma na kufaulu tu mbona. Watu wanakuza elimu bana kuwa ni gharama hakuna cha gharama sema ni Ile ya binadamu ya kutaka kutukuzwa kuwa yeye yu mjanja aka ego inamu drive Ila hakuna kitu.watu wanasoma online wanapata degree zao. Yaani ukiwa na hamu Kali yaani Ile kiu ya kutaka kusoma unasoma bana mbona.
 
Achana na huyo mjinga Mdogo wangu,, hana lolote angalia hata username yake atakuwa ni chawa wa wakubwa,,, Focus kwenye ushauri chanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…