Nimpeleke mtoto shule ya milioni 1.5 au hela nimuwekezee UTT au hisa?

It doesn't work that way
 
Muongo wewe
 
Bora umpeleke shule au umununulie mashamba vijiji aje kukata viwanja uzeeni
 
Huyu maisha ya shida kwake ni real world 😹😹😹
Sasa sijui hao wanaosoma huko English medium wao wanaishi kwenye fake world 🤣😹

Bora Nyerere asingepambania uhuru tu.!!
Kila mtu ana standard zake asee na tusipangiwe namna gani ya kutumia jasho letu😆😆😆
 
Wengi naona mnaongelea negatives of EMs lkn positives zake zipo kibao.
And vice versa is true kwa Kayumba
Kotekote .

Kwa ufupi kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake. Huwez EMs achana nazo. Mpeleke kayumba.

💯 malezi ya mtoto ni ya mzazi na sio shule, japo nayo inachangia kwa asilimia kadhaa pamoja na mitaani.

Hvy sijui kua strong kwa mtoto and blah blah ni kichwa cha mtoto na mafunzo kutoka kwa wazazi.

Kwan hamjui kwamba Kuna gays kibao hko kayumba? Hvy hvy ata EMs.
Kwa hiyo apo shida sio shule tu ni kichwa cha mtoto mwenyewe na malezi ya wazazi Fullstop!!

NB,
Usitegemee kayumba au EMs itakujengea mwanao kwa asilimia 💯 ki malezi.
Endelea kukariri mifano hai ipo mingi tu.


End***

Elimu
 
Wee ndio mwanaume, tumia akili mkeo anatumia hisia achana nae.
Kwanza ada halipi yeye so hajui uchungu wa hela
 
UKIONA ELIMU NI GHARI BASI JARIBU UJINGA.
 
Hakuna mbadala wa elimu nzuri, period, kayumba ni upuuzi, tu, taja waziri anayesomesha mtoto kayumba! Hata, waziri wa elimu, hapeleki mtoto kayumba,
sasa mkuu mbona unalinganisha hao walio level za ukwasi tena mawaziri kwanza hao hawapeleki watoto hizi english medium tunazolia nazo humu JF hao mawaziri wanapeleka watoto wao International school hao watoto wa vigogo utawakuta huko Feza,Braeburn na Ist..kingine sio kwamba wazazi hawataki kusomesha watoto wao shule bora tatizo uchumi mbovu wa walio wengi huko kayumba lazima twende hata kama hututaki..ww si unaona zogo humu ada ya milion 1.5 tu watu wanapiga mayowe na kulaani kisa tu wao hawana hizo hela na kuwaona wenye nazo wanaolipia watoto wao huko wanawaona kama wanatupa hela..haya makelele humu wanajifariji tu wanalia na milion 1.5 vp kama wakisikia huko international kwa kina Braeburn na Ist wanakolipa million 20-50 kwa mwaka na watu wanalipa bila mawazo si watakufa kwa kihoro hawa.!
 
Hivi ni nani alianzisha hili neno "Kayumba" ? Yaani alimaanisha wanaosoma kwenye hizi shule alizoziita "Ka-yumba" wame-yumba ; hawajanyooka.
 
Kumbuka biashara zake zimemnyima 1.5m ya ada. Hapo anamrithisha mwanae umaskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…