Nimpende nani? Nimpendee nani? Hakuna?

ukutane na mtu wa 30s unamtengenezaje. sahau hiyo kitu

Yeremia 13:23​

Je, Mkushi aweza kubadili ngozi yake au chui kubadili madoadoa yake? Vivyo hivyo nawe huwezi kufanya mema wewe uliyezoea kutenda mabaya.
 
Anza kwanza na anaekupenda, punguza vigezo kidogo.
 
Anza sasa kupenda wazee wa busara kama mimi, utakuja kunishukuru. Achana na hao watoto wenzako wa miaka ya 2000 ambao vichwa vinawaka moto muda wote.
Babu! Kwani wewe hujaoa? Au unataka mchepuko?
 
Mkuu,
Nani kavuruga hiyo kichwa yako?
 
Wanawake wa sasa mna entertain sana michezo ya ngono mnadhani mna muda wa kupoteza. Subiri ufike 30 kwenda juu ndio utaanza jikuta unakuwa serious, akija mwanaume hautamletea mizaha wala chenga utakuwa direct.
Sijawahi kumchezea mtu ni maisha tu watu walinionea wivu nikabakia hivi sasa natanga tanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…