Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Unapishana na gari ya mshahara 🤣🤣🤣🤣Shatembea mbele narudi geto hiyo mpaka kesho tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapishana na gari ya mshahara 🤣🤣🤣🤣Shatembea mbele narudi geto hiyo mpaka kesho tena
🤣🤣🤣😅😅😅
Duh Mpaji Mungu wahi pale kwenye madaladala ya Makumbusho.
😂😂😂Unapishana na gari ya mshahara 🤣🤣🤣🤣
ukutane na mtu wa 30s unamtengenezaje. sahau hiyo kituHow comes mwanamke asipate mwanaume wa kuishi naye. Hivi unashindwa kuanziasha urafiki na boy yoyote then msomane kwa kipindi Fulani then mkazama into serious relationship? Nimejifunza kitu kizuri kinaanza kwa kukitengeneza wewe mwenyewe achana na wanaume wa watu walio tengenezwa watakupa stress tu. Mwisho ukimpata muheshimu na mlinde kama ruba, mapungufu yake yabebe huku ukiendelea kumtengeneza. Pia mshirikishe Mungu kila hatua..... Kila la heri
Hapana. Sisi wazee huwa tunajua kutunza tu.Sawa nitaanza leo rasmi kuwapenda je mtanioa??
Couple za per day usiku wana anua matanga 😁😁Hivi ile couple yenu, wewe na Mwachiluwi iliishia wapi?
Mpaka mwachiluwi akafunguaga uzi wa kulia ukafutwa
Depoo unakumbuka?
halafu hizi nyuzi uwe unafungulia chit chat
😅😅😅😅Duh aisee🤣🤣🤣🤣
Babu! Kwani wewe hujaoa? Au unataka mchepuko?Anza sasa kupenda wazee wa busara kama mimi, utakuja kunishukuru. Achana na hao watoto wenzako wa miaka ya 2000 ambao vichwa vinawaka moto muda wote.
Mimi ni senior bachelor! 😎Babu! Kwani wewe hujaoa? Au unataka mchepuko?
Fanya uoe! Nani atakutawaza na uzee huoMimi ni senior bachelor! 😎
Mkuu,Aisee hii kali umenitusi kama wewe malaika mie sina shida kihivyooo hadi uniseme vibaya hivyoo kwanza wewe mwenyewe huna hadhi na mimi umelegea kila mahali huna nguvu za kiume hela huna,hujielewi unataka nini akili ya maisha huna.
Kazi masifa ya sio na mpangoo garasa ni dada zako weka hili akilini sitaki kuolewa na watu weusi hasa watanzania hamnaga akili kazi yenu nikujishaua tu ukiangalia wazungu wanachukua magarasa wanapita hivi nyie mnachukua hao matahira yenu hayana akili yanajua matako ni dili . Na kuwachanganya tu kazi yenu. Mnakuja na presha.
Kwanza huwezi kunifungulia biashara yeyote nitakayo,huna hizo hela kuingiza ml 100 kwa wiki huwezi nani ajilipue kwako sasa,vigari mnavyovitembelea vya shida vidogo jana vitoi vya mbwa mmejazana ukoo mzima. Kenya wasingekuwa wanataka nazao yetu mngebakia na mikopo tu....
Hamna mtu humu ambaye anahela ,wala uzuri wengi mboo zao zimelegea,zimepauka ukiwaambia nipigie picha wengine wana vidole warefu kama miti mnatisha kiufupi.
Mpaji Mungu ameniita geresa eti mimi geresaMkuu,
Nani kavuruga hiyo kichwa yako?
Utapunguza hiyo kichwa??Ukipungua mi nitakupenda, ushaanza movement zozote kutoa nyamazembe??
Tuongee hivi huna mjukuuu tukuzalie wajukuuHapana. Sisi wazee huwa tunajua kutunza tu.
Mh ila wewe aseHivi ile couple yenu, wewe na Mwachiluwi iliishia wapi?
Mpaka mwachiluwi akafunguaga uzi wa kulia ukafutwa
Depoo unakumbuka?
halafu hizi nyuzi uwe unafungulia chit chat
Kichwa ipi hiyo,? Kua specific kichwa ipi hiyo, maana kichwa zangu zote mbili ni kubwaUtapunguza hiyo kichwa??
Sijawahi kumchezea mtu ni maisha tu watu walinionea wivu nikabakia hivi sasa natanga tangaWanawake wa sasa mna entertain sana michezo ya ngono mnadhani mna muda wa kupoteza. Subiri ufike 30 kwenda juu ndio utaanza jikuta unakuwa serious, akija mwanaume hautamletea mizaha wala chenga utakuwa direct.