Nimpende nani? Nimpendee nani? Hakuna?

Nimpende nani? Nimpendee nani? Hakuna?

How comes mwanamke asipate mwanaume wa kuishi naye. Hivi unashindwa kuanziasha urafiki na boy yoyote then msomane kwa kipindi Fulani then mkazama into serious relationship? Nimejifunza kitu kizuri kinaanza kwa kukitengeneza wewe mwenyewe achana na wanaume wa watu walio tengenezwa watakupa stress tu. Mwisho ukimpata muheshimu na mlinde kama ruba, mapungufu yake yabebe huku ukiendelea kumtengeneza. Pia mshirikishe Mungu kila hatua..... Kila la heri
ukutane na mtu wa 30s unamtengenezaje. sahau hiyo kitu

Yeremia 13:23​

Je, Mkushi aweza kubadili ngozi yake au chui kubadili madoadoa yake? Vivyo hivyo nawe huwezi kufanya mema wewe uliyezoea kutenda mabaya.
 
Aisee hii kali umenitusi kama wewe malaika mie sina shida kihivyooo hadi uniseme vibaya hivyoo kwanza wewe mwenyewe huna hadhi na mimi umelegea kila mahali huna nguvu za kiume hela huna,hujielewi unataka nini akili ya maisha huna.
Kazi masifa ya sio na mpangoo garasa ni dada zako weka hili akilini sitaki kuolewa na watu weusi hasa watanzania hamnaga akili kazi yenu nikujishaua tu ukiangalia wazungu wanachukua magarasa wanapita hivi nyie mnachukua hao matahira yenu hayana akili yanajua matako ni dili . Na kuwachanganya tu kazi yenu. Mnakuja na presha.

Kwanza huwezi kunifungulia biashara yeyote nitakayo,huna hizo hela kuingiza ml 100 kwa wiki huwezi nani ajilipue kwako sasa,vigari mnavyovitembelea vya shida vidogo jana vitoi vya mbwa mmejazana ukoo mzima. Kenya wasingekuwa wanataka nazao yetu mngebakia na mikopo tu....

Hamna mtu humu ambaye anahela ,wala uzuri wengi mboo zao zimelegea,zimepauka ukiwaambia nipigie picha wengine wana vidole warefu kama miti mnatisha kiufupi.
Mkuu,
Nani kavuruga hiyo kichwa yako?
 
Wanawake wa sasa mna entertain sana michezo ya ngono mnadhani mna muda wa kupoteza. Subiri ufike 30 kwenda juu ndio utaanza jikuta unakuwa serious, akija mwanaume hautamletea mizaha wala chenga utakuwa direct.
Sijawahi kumchezea mtu ni maisha tu watu walinionea wivu nikabakia hivi sasa natanga tanga
 
Back
Top Bottom