Nimsaidie vipi huyu ndugu mwenye masharti kibao

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
6,788
Reaction score
16,227
Huyu ndugu kila anapoenda kuwatembelea ndugu na jamaa lazima aondoke ameharibu, yaani ana masharti ya kufa mtu hasa kwenye mpango mzima wa mboga na vyakula hali samaki, nyama ya mbuzi, mboga ya dagaa,

Yeye anataka akienda kumtembelea mtu ale nyama ya ngombe tu tena stake ....ukinunua nyama ya utumbo hali...ikifika jioni haogi maji ya baridi anataka achemshiwe aoge maji moto😂😂😃...

Huwa nabaki najiuliza huyu akizeeka nani atakubali kuishi nae au kumtunza ukisikia mtu anamtekeleza nduguye ni kwa pigo hizo hakuna anaeweza kuvumilia aisee
 
huyu ndugu kila anapoenda kuwatembelea ndugu na jamaa lazima aondoke ameharibu, yaani ana masharti ya kufa mtu hasa kwenye mpango mzima wa mboga na vyakula hali samaki, nyama ya mbuzi, mboga ya dagaa, yeye anataka akienda kumtembelea mtu ale nyama ya ngombe tu tena stake ....ukinunua nyama ya utumbo hali...ikifika jioni haogi maji ya baridi anataka achemshiwe aoge maji moto😂😂😃...huwa nabaki najiuliza huyu akizeeka nani atakubali kuishi nae au kumtunza ukisikia mtu anamtekeleza nduguye ni kwa pigo hizo hakuna anaeweza kuvumilia aisee
Ameolewa?, ana miaka mingapi?
 
Mambo madogo hadi ulete huku
 
Naoga maji baridi nikiwa Dar tu, nje na hapo mtanionyesha jiko la kuni lilipo nijichemshie… utumbo sili, hata kwetu wakipika sili.

Simshangai huyo nduguyo. La msingi atafute sasampa zake na apunguze kuzurula kwenye nyumba za watu.
 
m
Miezi miwili mingi. Ila kama mtu una masharti mengi kwenye maisha yako usifikie kwa ndugu ukakaa zaidi ya wiki.

Mimi binafsi vitu vingi sili. So sikaagi kwa ndugu hata awepo mahali nilipoenda kwa shughuli zangu, nitakaa hotelini/lodge na kwa ndugu nitaenda kuwajulia hali tu. So hata akajua complications zangu kwa masaa machache tu haimpi tabu.
 
Huyu ndugu kila anapoenda kuwatembelea ndugu na jamaa lazima aondoke ameharibu, yaani ana masharti ya kufa mtu hasa kwenye mpango mzima wa mboga na vyakula hali samaki, nyama ya mbuzi, mboga ya dagaa,

Yeye anataka akienda kumtembelea mtu ale nyama ya ngombe tu tena stake ....ukinunua nyama ya utumbo hali...ikifika jioni haogi maji ya baridi anataka achemshiwe aoge maji moto😂😂😃...

Huwa nabaki najiuliza huyu akizeeka nani atakubali kuishi nae au kumtunza ukisikia mtu anamtekeleza nduguye ni kwa pigo hizo hakuna anaeweza kuvumilia aisee
Huyo ni "the king-sized" relative.Mumvumilie tu.Kuna akina sisi ambao hadi ujue nipo mji uliopo ni baada ya siku tatu.Napenda uhuru na kutosumbua watu.Nazurula kwanza na kutatua kilichonileta,utaniona siku ya mwisho nakusalimia na kuaga kurudi nilipotoka.
 
Back
Top Bottom