Nimsaidie vipi huyu ndugu mwenye masharti kibao

Nimsaidie vipi huyu ndugu mwenye masharti kibao

Huyu ndugu kila anapoenda kuwatembelea ndugu na jamaa lazima aondoke ameharibu, yaani ana masharti ya kufa mtu hasa kwenye mpango mzima wa mboga na vyakula hali samaki, nyama ya mbuzi, mboga ya dagaa,

Yeye anataka akienda kumtembelea mtu ale nyama ya ngombe tu tena stake ....ukinunua nyama ya utumbo hali...ikifika jioni haogi maji ya baridi anataka achemshiwe aoge maji moto😂😂😃...

Huwa nabaki najiuliza huyu akizeeka nani atakubali kuishi nae au kumtunza ukisikia mtu anamtekeleza nduguye ni kwa pigo hizo hakuna anaeweza kuvumilia aisee
sikuakitaka kuja kwako mwambie umesafiri
 
Back
Top Bottom