Nimsaidie vipi huyu ndugu mwenye masharti kibao

Huyo ni "the king-sized" relative.Mumvumilie tu.Kuna akina sisi ambao hadi ujue nipo mji uliopo ni baada ya siku tatu.Napenda uhuru na kutosumbua watu.Nazurula kwanza na kutatua kilichonileta,utaniona siku ya mwisho nakusalimia na kuaga kurudi nilipotoka.
wewe ni kama mimi tu ....naweza kwenda mikoani nikamaliza hata miezi 3 , na ndugu wasijue kama nipo maeneo hayo
 
Huyu ndugu kila anapoenda kuwatembelea ndugu na jamaa lazima aondoke ameharibu, yaani ana masharti ya kufa mtu hasa kwenye mpango mzima wa mboga na vyakula hali samaki, nyama ya mbuzi, mboga ya dagaa,

Yeye anataka akienda kumtembelea mtu ale nyama ya ngombe tu tena stake ....ukinunua nyama ya utumbo hali...ikifika jioni haogi maji ya baridi anataka achemshiwe aoge maji moto😂😂😃...

Huwa nabaki najiuliza huyu akizeeka nani atakubali kuishi nae au kumtunza ukisikia mtu anamtekeleza nduguye ni kwa pigo hizo hakuna anaeweza kuvumilia aisee
Mtoto wa mwisho huyo....kazi yake ni kuishi kwa ndugu. Kesho kwa dada, wiki ijayo kwa kaka, next month kwa Shemeji
 
Mgonge maharage na mchicha mwanzo mwisho au ashinde njaa na kulala njaa 24hrs atanyoka. Aache undezi pesa ngumu kutafuta
 
Ni funzo kwa walezi wote.Tuwalee watoto kwa kuwafundisha uvumilivu katika maisha na kuendana na hali.Kama chakula hakimdhuru kwa nini akikatae au achaguechague?Tuanze majumbani mwetu.
 
Mtoto wa mwisho huyo....kazi yake ni kuishi kwa ndugu. Kesho kwa dada, wiki ijayo kwa kaka, next month kwa Shemeji
ni kweli kabisa niliwahi kuifatilia historia yake nasikia alikuwa ni mtu wa kudekezwa sana..na kama ni pesa wewe mpe ya kula tu..ukijichanganya ukampa pesa ya mtaji wa biashara basi jiandae kumpa pesa nyingine
 
Naoga maji baridi nikiwa Dar tu, nje na hapo mtanionyesha jiko la kuni lilipo nijichemshie… utumbo sili, hata kwetu wakipika sili.

Simshangai huyo nduguyo. La msingi atafute sasampa zake na apunguze kuzurula kwenye nyumba za watu.
Apunguze au aache
 
Huyu ndugu kila anapoenda kuwatembelea ndugu na jamaa lazima aondoke ameharibu, yaani ana masharti ya kufa mtu hasa kwenye mpango mzima wa mboga na vyakula hali samaki, nyama ya mbuzi, mboga ya dagaa,

Yeye anataka akienda kumtembelea mtu ale nyama ya ngombe tu tena stake ....ukinunua nyama ya utumbo hali...ikifika jioni haogi maji ya baridi anataka achemshiwe aoge maji moto😂😂😃...

Huwa nabaki najiuliza huyu akizeeka nani atakubali kuishi nae au kumtunza ukisikia mtu anamtekeleza nduguye ni kwa pigo hizo hakuna anaeweza kuvumilia aisee
Rais kasema nchi inavyakula vingi. Usinyime mtu chakula. Kesho utakuwa mgeni wake.
 
Back
Top Bottom