Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Watoto wanamkwepa mzazi wao?Kuna shida mahali.anao, lakini ndio hivyo wengine wanamkwepa
Watoto wanamkwepa mzazi wao?Kuna shida mahali.anao, lakini ndio hivyo wengine wanamkwepa
ndio hivyo mkuu ..Watoto wanamkwepa mzazi wao?Kuna shida mahali.
Mnunulie nyama aunt yetu,hapana mkuu utakuwa unanionea tunaishi kwenye jamii za kibepari.
Hapo kazi mnayo!anao, lakini ndio hivyo wengine wanamkwepa
Mtoto ndiye mtu wa kwanza anayetakiwa kujua hali ya mzazi wake.Kama ni hivyo,kuna agenda ya kujadiliwa hapo.ndio hivyo mkuu ..
mpaka nimeamua kufungua uzi jf ni kwamba kwangu mimi kidogo limekuwa na kauzito. na sio kwamba sina uwezo wa kununua hiyo nyama...ila pigo za kununua mboga tatu ndio sizielewi yaani nikinunua kilo ya nyama ninunue na kuku kwa ajili yangu..Hapo kazi mnayo!
HahahaRais kasema nchi inavyakula vingi. Usinyime mtu chakula. Kesho utakuwa mgeni wake.
nikimuangalia ni kama ana tatizo kidogo...hawa ndugu zetu wa kike walioachika ndoa zaidi ya moja huwa wanaathilika mentally kiasi flani.Ana kisirani tu?Mgonjwa?Alidekezwa tangu utotoni?Au ana msongo wa mawazo hadi anachukia kila mtu na kila kitu?
😂😂😂😂😂Naoga maji baridi nikiwa Dar tu, nje na hapo mtanionyesha jiko la kuni lilipo nijichemshie… utumbo sili, hata kwetu wakipika sili.
Simshangai huyo nduguyo. La msingi atafute sasampa zake na apunguze kuzurula kwenye nyumba za watu.
😂😂😂😂nikimuangalia ni kama ana tatizo kidogo...hawa ndugu zetu wa kike walioachika ndoa zaidi ya moja huwa wanaathilika mentally kiasi flani.
Muonesheni upendo zaidi.Hakika si yeye.nikimuangalia ni kama ana tatizo kidogo...hawa ndugu zetu wa kike walioachika ndoa zaidi ya moja huwa wanaathilika mentally kiasi flani.
Huyu ndugu kila anapoenda kuwatembelea ndugu na jamaa lazima aondoke ameharibu, yaani ana masharti ya kufa mtu hasa kwenye mpango mzima wa mboga na vyakula hali samaki, nyama ya mbuzi, mboga ya dagaa,
Yeye anataka akienda kumtembelea mtu ale nyama ya ngombe tu tena stake ....ukinunua nyama ya utumbo hali...ikifika jioni haogi maji ya baridi anataka achemshiwe aoge maji moto😂😂😃...
Huwa nabaki najiuliza huyu akizeeka nani atakubali kuishi nae au kumtunza ukisikia mtu anamtekeleza nduguye ni kwa pigo hizo hakuna anaeweza kuvumilia aisee
Usihofu, marehemu wengi kama si wote, kukumbukwa na ndugu zao wanaoishi.ndio familia zetu mkuu....mwingine anasema siku nikifa mtanikumbuka bora mnibebe hivyo hivyo na madhaifu yangu.
nenda google search andika neno nyama ya ng'ombeNyama ya ngombe ndo nyama gani hiyo????
ndungulile😃😃😃Ndugu kama ndugu😂😂😂😂,.
Akizeeka masharti hayatakuwepo mkuu.Huyu ndugu kila anapoenda kuwatembelea ndugu na jamaa lazima aondoke ameharibu, yaani ana masharti ya kufa mtu hasa kwenye mpango mzima wa mboga na vyakula hali samaki, nyama ya mbuzi, mboga ya dagaa,
Yeye anataka akienda kumtembelea mtu ale nyama ya ngombe tu tena stake ....ukinunua nyama ya utumbo hali...ikifika jioni haogi maji ya baridi anataka achemshiwe aoge maji moto😂😂😃...
Huwa nabaki najiuliza huyu akizeeka nani atakubali kuishi nae au kumtunza ukisikia mtu anamtekeleza nduguye ni kwa pigo hizo hakuna anaeweza kuvumilia aisee