Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Ameolewa?, ana miaka mingapi?huyu ndugu kila anapoenda kuwatembelea ndugu na jamaa lazima aondoke ameharibu, yaani ana masharti ya kufa mtu hasa kwenye mpango mzima wa mboga na vyakula hali samaki, nyama ya mbuzi, mboga ya dagaa, yeye anataka akienda kumtembelea mtu ale nyama ya ngombe tu tena stake ....ukinunua nyama ya utumbo hali...ikifika jioni haogi maji ya baridi anataka achemshiwe aoge maji moto😂😂😃...huwa nabaki najiuliza huyu akizeeka nani atakubali kuishi nae au kumtunza ukisikia mtu anamtekeleza nduguye ni kwa pigo hizo hakuna anaeweza kuvumilia aisee
Mambo madogo hadi ulete hukuhuyu ndugu kila anapoenda kuwatembelea ndugu na jamaa lazima aondoke ameharibu, yaani ana masharti ya kufa mtu hasa kwenye mpango mzima wa mboga na vyakula hali samaki, nyama ya mbuzi, mboga ya dagaa, yeye anataka akienda kumtembelea mtu ale nyama ya ngombe tu tena stake ....ukinunua nyama ya utumbo hali...ikifika jioni haogi maji ya baridi anataka achemshiwe aoge maji moto😂😂😃...huwa nabaki najiuliza huyu akizeeka nani atakubali kuishi nae au kumtunza ukisikia mtu anamtekeleza nduguye ni kwa pigo hizo hakuna anaeweza kuvumilia aisee
hajaolewa ...45-50Ameolewa?, ana miaka mingapi?
miezi 2Anakaa kwako mda gani?
Akila hivyo vyakula vingine asivyopenda vinamuathiri kiafya?hajaolewa ...45-50
makubwamiezi 2
sasa mimi nifanyeje mkuu ...kila nikikupa ushauri hunielewiMambo madogo hadi ulete huku
huwa anasema anajisikia kichechefuAkila hivyo vyakula vingine asivyopenda vinamuathiri kiafya?
Polenihuwa anasema anajisikia kichechefu
ndio familia zetu mkuu....mwingine anasema siku nikifa mtanikumbuka bora mnibebe hivyo hivyo na madhaifu yangu.makubwa
Miezi miwili mingi. Ila kama mtu una masharti mengi kwenye maisha yako usifikie kwa ndugu ukakaa zaidi ya wiki.miezi 2
Huyo ni "the king-sized" relative.Mumvumilie tu.Kuna akina sisi ambao hadi ujue nipo mji uliopo ni baada ya siku tatu.Napenda uhuru na kutosumbua watu.Nazurula kwanza na kutatua kilichonileta,utaniona siku ya mwisho nakusalimia na kuaga kurudi nilipotoka.Huyu ndugu kila anapoenda kuwatembelea ndugu na jamaa lazima aondoke ameharibu, yaani ana masharti ya kufa mtu hasa kwenye mpango mzima wa mboga na vyakula hali samaki, nyama ya mbuzi, mboga ya dagaa,
Yeye anataka akienda kumtembelea mtu ale nyama ya ngombe tu tena stake ....ukinunua nyama ya utumbo hali...ikifika jioni haogi maji ya baridi anataka achemshiwe aoge maji moto😂😂😃...
Huwa nabaki najiuliza huyu akizeeka nani atakubali kuishi nae au kumtunza ukisikia mtu anamtekeleza nduguye ni kwa pigo hizo hakuna anaeweza kuvumilia aisee