Nimsaidie vipi huyu ndugu mwenye masharti kibao

Hapo kazi mnayo!
mpaka nimeamua kufungua uzi jf ni kwamba kwangu mimi kidogo limekuwa na kauzito. na sio kwamba sina uwezo wa kununua hiyo nyama...ila pigo za kununua mboga tatu ndio sizielewi yaani nikinunua kilo ya nyama ninunue na kuku kwa ajili yangu..
 
Naoga maji baridi nikiwa Dar tu, nje na hapo mtanionyesha jiko la kuni lilipo nijichemshie… utumbo sili, hata kwetu wakipika sili.

Simshangai huyo nduguyo. La msingi atafute sasampa zake na apunguze kuzurula kwenye nyumba za watu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona kudili na mtu km huyo ni simple sana, nyie ishini mlivyokuwa mnaishi, kinachopikwa na yeye akakikataa kula basi mwacheni alale njaa, uone kama usiku hajaamka kukitafuta...
 
Nyama ya ngombe ndo nyama gani hiyo????
 
Akizeeka masharti hayatakuwepo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…