Nimsaidie vipi huyu ndugu mwenye masharti kibao

Mtafutieni mume kwa lazima, akisusa akaondoka ni ahueni akikubali nan kuolewa baada ya miezi 9 mumtembelee ndugu ili kujua kama anadumisha mashartui.
 
Akirudi kwake ,safari MOJA Funga nenda kasalimie kwake Kisha anza kuchagua mboga kama anavofanya kwako atoboke mfuko,

ila hakikisha unakula mtaani kabla ya Kurudi home hawanaga aibu watu wa hivyo
 
Mwambie Aje na kilogram 10 kabisa kila anapokuja kwako
 
Inaonyesha ni jinsi gani ulivyo huwez kupambanua mambo madogo namna hiyo
 
Huyo ndugu yako ni kabila gani mkuu, samahani lakni?πŸ₯Έ
 
mwambie tulichopika ndiyo tutakachokula uone atakaa siku ngapi na njaa.

Pia kama anataka kuoga kwa maji ya moto achemshe mwenyewe......
 
Hapo kama sio mgonjwa ni mazoea,,

Nyumbani kwetu kuna ambao mboga kama dagaa hawali kabisa,,, hii ni kuwa home dagaa tulikuwa hatupiki kabisa aaani, ko me nimejifunzia kwa rafiki angu

binafsi juice sinywagi hasa za kutengeneza na blender,, hata za kiwandani sipo interesting nazo,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…