Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Akili zako unazijua ww mwenyeweMbona hiyo ndio kazi walio iomba mkuu, yes hatuombei wafe lakini kufa haimaanishi basi waondolewe vitani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili zako unazijua ww mwenyeweMbona hiyo ndio kazi walio iomba mkuu, yes hatuombei wafe lakini kufa haimaanishi basi waondolewe vitani.
Na waifu hua anatamba kitaa na anamkubali mume wake...🤣Akili zako unazijua ww mwenyewe
Ukae tu kwa umakiniOna unachoandika Sasa! Ndicho kilichoujaza ubongo wako.
Alafu mume mwenyewe ndo wewe hapo...Na waifu hua anatamba kitaa na anamkubali mume wake...🤣
Una uhakika na unayosema? Baada ya hapo kamuulize Sultan Makenga wa M23 kilichomkuta.Si walikuwa wapo supported na huyo PK.Na Kagame siyo wa mchezo mchezo. Ni Putin wa Afrika huyu, akiamua kumung'oa mama jua halizami.
PK aliwahi kumwambia JK, I will hit you!. JK hakutia neno.
Well said DRC Tanzania haiwezi kuicha ikadondoke kizembe najua soon hao M23 watafurushwa tuu,CDF alikwenda kule last month kustudy situation najua watakuwa wanajua uimara na weekness zao.Bahima Empire,Plundering and piracy ya resources ndio msingi mkubwa wa mauaji ya raia wasio na hatia..
Hatuwezi kuwa salama kama nchi ikiwa tutabariki uharamia wa rasilimali kwa wenzetu (DRC) wenye impact kubwa kwenye uchumi wetu..Logistics infrustructure and trade.
Tukizembea na kujizima data ipo siku M24 wataingia Ngara,Geita,Kahama,Biharamulo..
Ndivyo walivyo hata kwenye maisha ya kawaida. Wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] - wao migogoro huwa ni sehemu ya maisha yao na wakati mwingine huwa wanaingilia migogoro isiyo wahusu. Huwa wana tabia ya kununua UGOMVI 🇨🇩Hawapo serious wa-Congo wanataka wengine wanunue ugomvi wao.
Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC.
SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo.
Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka watoto wa taifa letu wanaopigana na M23 kule DRC.damu yao inamwagika kwa sababu gani?
View: https://www.youtube.com/watch?v=HHtxvhSPgAQ&t=124s&pp=ygUWdG
hlIHBlb3BsZSAgd2hvIGFzayBtZQ%3D%3D
Mwenzangu unaonekana una taarifa kidogo sana za kuhusu vita ya Drc.Au unapotosha kwa makusudi.Umewahi kusikia kwamba gari la UN lilipata ajali likiwa likiwa ndani ya Drc likakutwa lina shehena yq silaha za moto.Ukiwaona wakongo wanawafukuza monisco unaweza dhani ni wehu.Ila kiukweli vita ile inachochewa na mataifa makubwa kwa sababu ya maslahi yao binafsi.inasikitisha kuona nchi mojawapo ya africa inasambaratika.hakuna raisi ataingia congo aweze kuleta amani.na utaona vita iko kwenye maeneo yenye rasmali tuu.ukienda bukavu au kinchasa ni kama uko nchi nyingine.Hii pia imehamia hadi kule central republic.Well said DRC Tanzania haiwezi kuicha ikadondoke kizembe najua soon hao M23 watafurushwa tuu,CDF alikwenda kule last month kustudy situation najua watakuwa wanajua uimara na weekness zao.
Wewe usiniambie?!Na Kagame siyo wa mchezo mchezo. Ni Putin wa Afrika huyu, akiamua kumung'oa mama jua halizami.
PK aliwahi kumwambia JK, I will hit you!. JK hakutia neno.
Yes naelewa kinacoendelea ndugu ni kweli Manusco wanahusika pakubwa na ndio maana Serikali ya DRC imewaambia waondoke mwisho ni December 2024 na baadhi ya kambi wameshakabidhi kwa serikali ya DRC kwenye hilo jimbo chini ya Gavana Cirimwani.Pamoja na yote serikali ya Felix Tshekedi inajitahidi sana kupambna ila baadhi ya makamanda wake ni wasaliti sababu ya rushwa ndio maana baadhi wameondolewa na kupelekwa Kinshasa.Pia vikwazo vya silaha waliyokuwa wamewekwa kununua ilichangia jeshi lao week.Lakini kwa sasa wana mpka Drone.Mwenzangu unaonekana una taarifa kidogo sana za kuhusu vita ya Drc.Au unapotosha kwa makusudi.Umewahi kusikia kwamba gari la UN lilipata ajali likiwa likiwa ndani ya Drc likakutwa lina shehena yq silaha za moto.Ukiwaona wakongo wanawafukuza monisco unaweza dhani ni wehu.Ila kiukweli vita ile inachochewa na mataifa makubwa kwa sababu ya maslahi yao binafsi.inasikitisha kuona nchi mojawapo ya africa inasambaratika.hakuna raisi ataingia congo aweze kuleta amani.na utaona vita iko kwenye maeneo yenye rasmali tuu.ukienda bukavu au kinchasa ni kama uko nchi nyingine.Hii pia imehamia hadi kule central republic.
kinachoumiza zaidi kuwa watoto na wanawake ndiyo wahanga wakubwa sana.
Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC.
SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo.
Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka watoto wa taifa letu wanaopigana na M23 kule DRC.damu yao inamwagika kwa sababu gani?
View: https://www.youtube.com/watch?v=HHtxvhSPgAQ&t=124s&pp=ygUWdGhlIHBlb3BsZSAgd2hvIGFzayBtZQ%3D%3D
Kwanini tusifanye Rwanda kua mkoa wa Tz,kunawatoto watamu k
Punguza mahaba basi usimalize yote leo ni Eid utanyimwa pilau 😂😂😂😂Waulize marais wa east africa. Wanamwelewa na wanamwogopa sana
Mavi yako u idiot kissing ur own assholeNa Kagame siyo wa mchezo mchezo. Ni Putin wa Afrika huyu, akiamua kumung'oa mama jua halizami.
Muulize nini kilitokea mbwa wewePK aliwahi kumwambia JK, I will hit you!. JK hakutia neno.
Hiv najiuliza, what if cdf kaenda huko (kama ulivyodai), halaf m23 wakamlamba bomu akafa, sijui nini kingetokeaCDF alikwenda kule last month kustudy situation najua watakuwa wanajua uimara na weekness zao.
Yes naelewa kinacoendelea ndugu ni kweli Manusco wanahusika pakubwa na ndio maana Serikali ya DRC imewaambia waondoke mwisho ni December 2024 na baadhi ya kambi wameshakabidhi kwa serikali ya DRC kwenye hilo jimbo chini ya Gavana Cirimwani.Pamoja na yote serikali ya Felix Tshekedi inajitahidi sana kupambna ila baadhi ya makamanda wake ni wasaliti sababu ya rushwa ndio maana baadhi wameondolewa na kupelekwa Kinshasa.Pia vikwazo vya silaha waliyokuwa wamewekwa kununua ilichangia jeshi lao week.Lakini kwa sasa wana mpka Drone.
Aaaagh!!Hiv najiuliza, what if cdf kaenda huko (kama ulivyodai), halaf m23 wakamlamba bomu akafa, sijui nini kingetokea
Mwambie ajaribu kuigusa TZ huyo putin wa mchongoNa Kagame siyo wa mchezo mchezo. Ni Putin wa Afrika huyu, akiamua kumung'oa mama jua halizami.
PK aliwahi kumwambia JK, I will hit you!. JK hakutia neno.