Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
mtafyekwa kama kuku siku mtakapojaribu,Ataweza nchi zingine lakin si hapa, we know his playbook.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtafyekwa kama kuku siku mtakapojaribu,Ataweza nchi zingine lakin si hapa, we know his playbook.
ukweli umekuingiaww ni tahira unae muoverate kagame.....alafu uhamiaji wafanye wawafurushe hawa wakimbiz wa kirund na kirwanda waliojazana huku katavi.....wakimbizi kama mtoa maada hawatakiw kuwepo bongo.
Sijui kwann Gays huwa hamjifichi...mkiliwa si siri zenu mpaka uje utuonyeshe shanga...?Na Kagame siyo wa mchezo mchezo. Ni Putin wa Afrika huyu, akiamua kumung'oa mama jua halizami.
PK aliwahi kumwambia JK, I will hit you!. JK hakutia neno.
Angalia usije kukojoa kitandani. Amka kumekucha.Sijui kwann Gays huwa hamjifichi...mkiliwa si siri zenu mpaka uje utuonyeshe shanga...?
Waulize marais wa east africa. Wanamwelewa na wanamwogopa sanaEndelea Kuwa chizi.
Punguza upumbavu wako basi Mkuu hata kama unatumia fake Id.Waulize marais wa east africa. Wanamwelewa na wanamwogopa sana
Matatizo ya vita ya Congo ni jeshi la Congo kuwa very corrupted !
Congo sio wa kuwaamini kushirikiana nao kwenye vita !
Kuna uwezekano baadhi ya wanajeshi wa Congo wako upande wa M23 na upande wa nchi Yao wanacheza kote kote Shauri ya biashara ya dhahabu .
Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC.
SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo.
Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka watoto wa taifa letu wanaopigana na M23 kule DRC.damu yao inamwagika kwa sababu gani?
View: https://www.youtube.com/watch?v=HHtxvhSPgAQ&t=124s&pp=ygUWdGhlIHBlb3BsZSAgd2hvIGFzayBtZQ%3D%3D
Kagame na mtoto wa Museveni (hasa huyu mtoto wa Museveni) wana matatizo lakini ni makosa kuwa łebel jamii nzima ya watutsi ni watu wabaya.Huyu kagame ni mlevi mkubwa wa umbari wa kitutsi. Hao m23 kama walivyo watutsi wanaamini wao ni mbari superior na lazima watawale popote wanapoishi hata kama hawachaguliwi na watu. Nchi za afrika mashariki lazima kuungana kuzima huu wewu wa watutsi kabla hawajaanzia israeli nyingine huku kwetu afrika.
View: https://m.youtube.com/watch?v=cYp4iKPt3Ug&pp=ygUhbGlldXRlbmFudCBjb2xvbmVsIG1hbWFkb3UgbmRhbGEg
Hakuna jeshi East Congo kuna local ‘have a go heroes’ kama huyo Mamadou wenye uchungu na nchi yao.
Huyo jamaa alikuwa ni kanałI tu wa jeshi ambae alipambana na waasi na kuwapa mziki kwa jitihada zake mwenyewe; mwishowe akaja uliwa na mapendikixi ya kinywaranda ndani ya jeshi. It’s a local army assemble so kuna watu wanajiunga kwa kuhukumu. Serikali kuu aitaki ku-commit wanajeshi kutoka maeneo mengine na wala hakuna generals kwenye hiyo vita wa jeshi lao.
Watu kama hao unawasaidis mpaka lini. Yaani Tanzania ijali East-Congo kushinda serikali yao.
Ni muda wa kuombiana ukweli wajipange au tuachane nao; hawapo serious wa-Congo wanataka wengine wanunue ugomvi wao.
Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC.
SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo.
Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka watoto wa taifa letu wanaopigana na M23 kule DRC.damu yao inamwagika kwa sababu gani?
View: https://www.youtube.com/watch?v=HHtxvhSPgAQ&t=124s&pp=ygUWdGhlIHBlb3BsZSAgd2hvIGFzayBtZQ%3D%3D
Hoja zako ni sababu muhimu za kujiuliza kwanini tuna kihere here huko; wakati wa-congo wenyewe hawapo serious.Hiyo vita ni mradi wa rwanda uganda na vigogo wa congo. Ukitaka kumaliza vita na kuleta amani utauliwa.
Tena wewe anakubaka live kabisa... Huku unajiona. Maana hujielewi kabisa. Unapigwa mti hivi hivi dogo na ulivyolegea hutoweza tembea kabisa.Punguza upumbavu wako basi Mkuu hata kama unatumia fake Id.
Ona unachoandika Sasa! Ndicho kilichoujaza ubongo wako.Tena wewe anakubaka live kabisa... Huku unajiona. Maana hujielewi kabisa. Unapigwa mti hivi hivi dogo na ulivyolegea hutoweza tembea kabisa.
Not a bit, a at large percent, and he knows that
"Umepitwa na wakati"? Una maana hao mabeberu hawataki tena cobalt na madini mengine muhimu kwenye utengenezaji wa simu na betri!Huo wimbo wa mabeberu umepitwa na wakati, China ndio mvunaji mkubwa wa madini na mbao huko DRC kwa sasa kwa njia halali na haramu.
What. Langley? Usiniambie. Miaka gani hiyo?"Langley".
Hukukosea kuchagua jina.Kagame ni Putin wa Africa. Usiwe mbishi dogo. Kagame akikutaka wewe hakukosi