Shida sio kufa au kutokufa; ila loss of lives iwe justified na intended end results. Vinginevyo ivyo vifo vinakuwa unnecessary loss of lives.
Kilichowaondoa US Afghanistan ni kukubali matokeo, baada ya miaka mingi sana ya kutumia billion of US dollars kutoa military training, police training na kuwapa kila zana wenyeji ya kukabiliana na Taliban.
Kasheshe sasa ikawa wakiwapa jeshi la ulinzi na polisi wa Afghanistan eneo la kusimamia wenyewe ndani ya week Taliban inaondoa local forces. after many years of trying huku US ikipoteza askari wake ikabidi wakubali matokeo aiwezekani.
Ndio scenario yetu Tanzania kwenye mgogoro wa East Congo, unakwenda unawaondoa waasi mkitoka tu wanarudi pale palę; mmaenda tena mkitoka yale yale till when.
Ujinga ni kufanya kitu kiłę kiłę na kutegemea matokeo tofauti. Ifike wakati wa kuongea na serikali ya Congo either wa commit kuwa na control ya hilo eneo au tuache liwalo na liwe.